Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Starting XI vs Pafos FC
4-2-3-1
------Delap--------

Garnacho --- Enzo -- Neto

--Caicedo ---James (C)--

Hato--Badiashile--Fofana--Gusto

----------Jorgensen---------
Subs:
  1. Robert Sánchez
  2. Josh Acheampong
  3. Trevoh Chalobah
  4. Marc Cucurella
  5. Landon Emenalo
  6. Andrey Santos
  7. Reggie Walsh
  8. Tyriq George
  9. Estevão Willian
  10. Jamie Gittens
  11. João Pedro
  12. Marc Guiu
 
Mabeki wa kati ambao tunaowahitaji na tusiowahitaji
✅Levi Colwill — Beki wa kisasa, anacheza mpira vizuri, mwepesi, anafaa kabisa mustakabali wa Chelsea.
✅Mamadou Sarr — Kipaji kikubwa, mguu wa kushoto, beki mkali na mwenye uwiano mzuri.
✅Jérémy Jackuet — Kiwango cha juu cha uwezo, mwepesi, mwenye nguvu na anasogeza timu mbele.
🔵 Aaron Aneslimno — Bado hajakomaa kwa majukumu ya kikosi cha kwanza kwenye ligi kama ya EPL.
Tunawahitaji lakini sio wa kuwategemea sana
🟨 Wesley Fofana - Ni mzuri akiwa fiti, lakini upatikanaji na uimara wa muda mrefu inatia wasiwasi.
🟨 Trevoh Chalobah — Ni beki mzuri, lakini mtindo wake hauendani na mradi wa sasa.
Wanaweza kuondoka
🔴 Tosin Adarabioyo — Makosa mengi, hawezi kumudu mchezo chini ya presha. Hawezi kumudu 1v1 na ni mzito kurudi kulinda goli akishotoka nje ya eneo la hatari
🔴 Benoît Badiashile — Mzito kugeuka na kufanya tackling, na kwenye high line anateseka sana. anapoteza mipira sana na kuiweka Chelsea kwenye hatari ya kufungwa magoli ya hovyo
Anahitaji Mkopo Zaidi
Nmecheka hapo kwa chalobah 😂

N Sawa na demu mbovu Ila kila siku wana wanamgombania.

Mashabiki bhana 😂
 
Chelsea kivivu vivu tumeweza kuingia top 8
FT
Chelsea 1 - 0 Pafos
Mechi na Napoli jumanne ijayo ni a must win match

1769032694829.png
 
Chelsea kivivu vivu tumeweza kuingia top 8
FT
Chelsea 1 - 0 Pafos
Mechi na Napoli jumanne ijayo ni a must win match

View attachment 3532784

Itakuwa rahisi zaidi kuifunga Napoli kwenye Uwanja wa Stadio Armando Maradona kuliko kuifunga Pafos hapa Stamford Bridge. Chelsea bado inahangaika sana dhidi ya timu zinazokaa nyuma na kujilinda. Natumai Napoli watacheza wazi, ili wachezaji wetu wapate nafasi ya kujenga mashambulizi. Mechi ya lazima kushinda ili kuepuka playoff.
 
Mashabiki wa Chelsea ni kama mafarisayo wale wa kinazi sio hawa wayahudi wa sasa hivi
1) Yohana mbatizaji alikuja hali wala hanywi wakamuita Ana mapepo
2) Akaja Yesu Kristo anakula na kunywa wakamuita Mlafi na mlevi
Hata aje kocha mzuri atakosolewa tu na kupachikwa majina mbalimbali
 
Mmechanganyikiwa, huyo Douglas Luis wa kaz gani sasa ? Hapo akina Andrey Santos hawachezi,

Huyu Luis ni injury prone, hawez kukupa mechi 10 consecutively, Luis tangia ametoka Villa ameenda Juve sio yule tena, anastruggle sana...... hap Forest tu nafasi hapati, nyie mmejaa mazima sio.. Basi sawa ! Bwana Miwani anapambana kulinda kibarua
 
Kweli kabisa, usajili wa Douglas Luiz kwenda Chelsea hauhitajiki.
Tayari tunao hawa sita, na wawili tu ndio wanatakiwa kwenye starting XI:
Enzo na Caicedo, Andrey Santos, Dario Esugo ni ngumu kucheza halafu unaongeza tena mzigo
  1. Enzo Fernández
  2. Moises Caicedo
  3. Andrey Santos
  4. Dario Esugo
  5. Romeo Lavia
  6. Reece James
Tunahitaji kina kiasi gani kwenye kiungo kabla mambo hayajageuka vurugu kabisa.

1769191450130.png
 
View attachment 3533452
Ndo maboss wenu wamejaa mazima, mazungumzo yako final stage...tuseme ni pendekezo la New coach
 
Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.
Liverpool wameangukia pua kule Vitality Stadium
Advantage Chelsea, tunamfumua Palace kesho halafu tunakwea kwenye nafasi ya nne
FT
Bournemouth 3 - 2 Liverpool
 
Itakuwa rahisi zaidi kuifunga Napoli kwenye Uwanja wa Stadio Armando Maradona kuliko kuifunga Pafos hapa Stamford Bridge. Chelsea bado inahangaika sana dhidi ya timu zinazokaa nyuma na kujilinda. Natumai Napoli watacheza wazi, ili wachezaji wetu wapate nafasi ya kujenga mashambulizi. Mechi ya lazima kushinda ili kuepuka playoff.
Mkuu kwanini una fikra hizi?
 
Crystal Palace vs Chelsea
4-2-3-1
------João Pedro--------

Neto --- Enzo -- Estevão

--Santos---Caicedo --

Cucurella--Badiashile--Chalobah--Jame(C)

----------Sánchez---------
Subs:
1) Sharman-Lowe
2) Acheampong
3) Fofana
4) Gusto
5) Hato
6) Garnacho
7) Gittens
8) Delap
9) Guiu
 
Badiashile bado sana
Neto hovyo sana
Joao Pedro mvivu sana
HT
Crystal Palce 0-1 Chelsea
1769352952565.png
 
Chelsea hawakucheza vizuri mechi zote za Rosenior ila wanatoka na points
Baada ya Palace kupungua kwa red card Chelsea ndio ilizidiwa kabisa. What wrong with Chelsea?
FT
Chelsea 3-1
Chelsea inakuwa nafasi ya nne ikiwa Man United hatashinda leo dhidi ya Arsenal
1769357093893.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom