Chelsea kivivu vivu tumeweza kuingia top 8
FT
Chelsea 1 - 0 Pafos
Mechi na Napoli jumanne ijayo ni a must win match
View attachment 3532784
Watagawana nusu kwa nusu😂🤣View attachment 3533082
Hivi clean sheet ya jana ni ya golikipa yupi?
Mmechanganyikiwa, huyo Douglas Luis wa kaz gani sasa ? Hapo akina Andrey Santos hawachezi,
Huyu Luis ni injury prone, hawez kukupa mechi 10 consecutively, Luis tangia ametoka Villa ameenda Juve sio yule tena, anastruggle sana...... hap Forest tu nafasi hapati, nyie mmejaa mazima sio.. Basi sawa ! Bwana Miwani anapambana kulinda kibarua
Ndo maboss wenu wamejaa mazima, mazungumzo yako final stage...tuseme ni pendekezo la New coachKweli kabisa, usajili wa Douglas Luiz kwenda Chelsea hauhitajiki.
Tayari tunao hawa sita, na wawili tu ndio wanatakiwa kwenye starting XI:
Enzo na Caicedo, Andrey Santos, Dario Esugo ni ngumu kucheza halafu unaongeza tena mzigo
Tunahitaji kina kiasi gani kwenye kiungo kabla mambo hayajageuka vurugu kabisa.
- Enzo Fernández
- Moises Caicedo
- Andrey Santos
- Dario Esugo
- Romeo Lavia
- Reece James
View attachment 3533452
Mkuu kwanini una fikra hizi?Itakuwa rahisi zaidi kuifunga Napoli kwenye Uwanja wa Stadio Armando Maradona kuliko kuifunga Pafos hapa Stamford Bridge. Chelsea bado inahangaika sana dhidi ya timu zinazokaa nyuma na kujilinda. Natumai Napoli watacheza wazi, ili wachezaji wetu wapate nafasi ya kujenga mashambulizi. Mechi ya lazima kushinda ili kuepuka playoff.
Estêvão Willian's goli na assist tayari dk ya 50Badiashile bado sana
Neto hovyo sana
Joao Pedro mvivu sana
HT
Crystal Palce 0-1 Chelsea
View attachment 3534343
Bora nyumbu ashinde, tutashuka nafasi Ila tutaipambania wakati ujao.Kwa mda unaofuata nitawashangilia wadogo zetu Asenyeto wampige Manyule ili tuwe nafasi nzuri