Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea 2 PSG 0

Mmmh Chelsea wako vizuri nawakubali sana hawa jamaa japo sio mshabiki wao,wapo serously mno hasa ktk kutafuta point za muhimu,natamani team za kibongo zingetamani kuwa na munkari kama huo...Big Up CFC.
 
haya chelsea kapita. naona harufu ya timu nyingine ya england kushinda kesho.
 
Mmmh Chelsea wako vizuri nawakubali sana hawa jamaa japo sio mshabiki wao,wapo serously mno hasa ktk kutafuta point za muhimu,natamani team za kibongo zingetamani kuwa na munkari kama huo...Big Up CFC.

Teh Teh Teh Teh Teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom