Kompany aliishusha Burnley daraja. Bayern wakamchukua, the rest is history
Delusional fanbase.
Utasikia "Kocha alikua analazimishwa kufanya rotation ili kuongeza wachezaji thamani"
Baadaye "Kocha alikua anafanya rotation ili kila mchezaji apate namba na awe wa kutegemewa siyo kutegemea superstar mmoja"
Hili la SDs kumuingilia kocha ni nani ana uhakika nalo? au ni propaganda tu. Hata Poch nae tuliambiwa hivyo hivyo anaingiliwa!! alivyoajiriwa Maresca mkasema ameajiriwa Kocha wa Yes kwa kila kitu.Behdad Eghbali na SDs wao hawafurahishwi na Marecsa kuiwezesha Chelsea kushinda Conference league na FIFA CWC bali wao wanahusunishwa na Maresca kutowapa nafasi
Lengo ni kwamba hawa wachezaji wapande bei kehso wakiwa kwenye ubora wao wauzwe kwa faida
- Acheampong
- Mamadou Sarr
- Aaron Aselmino
- Jorel Hato
- Andrey Santos
- Jamie Gittens
- Estevao Willian Nk Nk
Kama tu hawa wamiliki hawafurahishwi kushind ahaya makombe kwa muda mfupi je kwenye mikakati yaoi kuna plan ya kushinda kombe la ligi? UEFA? sidhani
Walishasema waziwazi kuwa wao wanafurahishwa na model ya Brighton ya kuendeshwa kwa bajeti ndogo na kuwa midtable team, lakini wamiliki wanapata faida kubwa
Malizana kwanza na Bournemouth.Kwahiyo mmeamua kumchukua Erik Kichwa Ngumu Ten Hag
Mkipigwa chini ya tano nampa Olashoga mama la mama vocha ya buku.Malizana kwanza na Bournemouth.
Ninarudia tena.
Chelsea wakipigwa chini ya goli tano ninampa vocha ya buku Olashoga mama la mama
Ninarudia tena.
Chelsea wakipigwa chini ya goli tano ninampa vocha ya buku Olashoga mama la mama
Pale Bundesliga, Bayern ni bayern tuu, hata mende awe kocha bado bayern itabaki halo halo kwenye huo ubora, hawawezi kukosa ubingwa maybe mara tatu mfululizo kisa kocha.Kompany aliishusha Burnley daraja. Bayern wakamchukua, the rest is history
Ndiyo sababu kocha anayefundisha Bayern wenye timu hua wanamhukumu kutokana na CL. Na Kompany hata CL yuko vizuri, amepoteza game moja tu aliyofungwa na Arsenal.Pale Bundesliga, Bayern ni bayern tuu, hata mende awe kocha bado bayern itabaki halo halo kwenye huo ubora, hawawezi kukosa ubingwa maybe mara tatu mfululizo kisa kocha.