Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani Tuna kocha zamwamwa.
20251230_233339.jpg
 
Narudia tena endeleeni kumuendekeza Caicedo
Hakuna mchezaji mule hamuwezi kushinda taji lolote kwa kumtegemea huyo garasa
 
Katika mechi 19 United kashinda mechi 8, kasuluhu 6 kapoteza 5. Kafunga magoli 33.

Na tunaisema United ni mbovu.

Nyinyi wapuuzi baada ya kutumia Bilioni 2 katika mechi 19 mmeshinda 8, mmesuluhu 6 mmepoteza 5. Mmefunga magoli 32.

Kenge kabisa
 
Jamaa mmoja akaandika

Yaani jinsi tunavyocheza hapa sisi ni bora kuliko Arsenal, City na Liverpool. Na tukiendelea hivi kombe tunachukua.

Leo hizi kenge zimeachwa points 15 yule yule anakuambia kwanza sisi hatukua na mpango na kombe.

Delusional fan base ni midomo tu ndiyo wamebarikiwa
 
Chelsea bingwa Dunia mnafeli wap, sema hpo J2 wachezaji wataingia Kwa hasira zote dhidi Man city, ukizingatia fans wao wanajinasibu wao ni kiboko ya mabishoo/timu kubwa refer Psg,Barcelona, Liverpool zote kazikalisha...
Pia wataingia Kwa hasira zote washinde sbbu Chelsea ktka mechi 10 ikiwemo hii ya Bournemouth wameshinda mechi3 tu(ikiwemo ushindi na Barcelona kny UEFA) mechi zingine7 ni vipigo na droo ili warudishe morali Lakn pia watataka kufuta uteja wa zaidi miaka4 ya kushindwa kumfunga Man city na kugombea top4 UEFA, japo nasisitiza Tena Wana record mby sn Kwa guadiola recently.
 
Katika mechi 19 United kashinda mechi 8, kasuluhu 6 kapoteza 5. Kafunga magoli 33.

Na tunaisema United ni mbovu.

Nyinyi wapuuzi baada ya kutumia Bilioni 2 katika mechi 19 mmeshinda 8, mmesuluhu 6 mmepoteza 5. Mmefunga magoli 32.

Kenge kabisa
Mna timu bora sana m waka huu. msiposhinda ligi au UEFA mtuambie hapa tuwafanye nini?
 
Mna timu bora sana m waka huu. msiposhinda ligi au UEFA mtuambie hapa tuwafanye nini?
Mzee timu bora ya Arsenal kwangu ni 22/23 na 23/24 baada ya hapo naona tunapambana kama timu zingine zinavyotakiwa kupambana.
 
Hii team kwa sasa shida ni wamiliki na wale sporting director huwez invest 1.5BN halaf useme unajenga team now ishavuka misim 4 na bado hatuonekani kama tuko tayar kugombania hata ubingwa hiyo top 4 yenyewe tunaitafuta kwa mbinde

Kumtoa jackson na kumleta Delap ni kama tumepiga hatua kumi nyuma tena
 
Chelsea tatizo lao ni kocha tu wanatakiwa wamfukuze kocha, Bora wamlete Fabriga.
 
Kenge kabisa..... kuna watu humu walikuwa wanapiga hesabu za ubingwa..... tuliwaambia kichwa maresca sio kocha

Unataka ushindwe Epl na Caisedo mpuuzi hana nidhamu ? Mpira wa siku hizi ni akili kuliko nguvu akajifunze namna ya kupoka mipira kistaarabu kina rodri, frankie de Jong, Sergio wa inter miami.. ndio viungo wa kisasa wanavyokuwa... ule uchezaji wa kina claudio makelele, Nigel de Jong, Roy kean ushapitwa na wakati
 
Tunayo mechi 20 bado, safari ni ndefu bado, bingwa pekee na mpinzani wake wa karibu ndio watakuwa na pumzi ya kuizidi Chelsea hao wengine watajichokea njiani. Wa kumuombea hapa ni Maresca tu maana naona anafanya maamuzi kama ya Gittens
Et maamuzi kama ya Gittens😂
 
Nyie mpambanie 10 bora na si kingine , ndio Levo yenu.... mmeinvest over 1.5b£ ...... kina disas, badiashile, sterling, garnacho, hato, gittens, delap watawafikisha nchi ya ahadi ? Ngoja tuone, mna SDs wabovu, maamuzi ya kukurupuka, kama juzi mlimtaka semenyo tena, mkajitoa kwenye mbio ! Beki imeoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom