Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado City kuja kujipigia mipasi yake ya upendo. Mkipigwa chini ya tano nampa Olashoga mama la mama vocha ya buku
 
Hiki sio cha kujivunia wakati wenzetu wanapambana kunyenyua ndoo
Kuwa mkweli ni kinga nzuri kwa afya yako. Tangu mwanzoni mwa ligi Chelsea haikuwa na kikosi cha kubeba ndoo na hasa baada ya ACL ya Levi Colwill, ikafuatiwa na majeruhi ya Cole Palmer na rotation za kuwalinda injury prone
 
Sawa, lakini tusipochanga karata vizuri tutaweza tusiipate hata top four maana kwa sasa tunaangusha sana points
 
Jamaa achana na habari ya top 4. Hii timu ni ya kutakatishia fedha sio makombe tena. Mdhamini wa jezi mpaka leo story, window 3 matumizi karibu 2Bil winger ni Gittern/Gearnacho, best CB ni academy graduate baada ya kuspend 2bil
Kocha anawaza mechi inayokuja kabla ya mechi husika haijaisha

Sporting Director na Kocha wote ni internship graduates bado wanafanya pilot studies

Mechi 7 za mwisho za Chelsea kwenye ligi hawezi shinda zaidi ya 2 kwa kikosi hiki na kocha huyu na SD hawa armature

Inasikitisha sana, yani Chelsea tunayoiona leo haina matumaini kabisa na haitotufikisha popote kwa ushindi wa kubahatisha hivi kama betting
 
Maresca anaweza kuwa na matatzo yake ila tatizo kuu kwa sasa ni hawa SD

Huwez spend 1+BN na bado team inaonekana inamatobo kila sehem,Dirisha lilipita lilikuwa la kuboresha badala yake ndio tumeregress.

Unaspend 90M kwa winga ya Gittens na Garnacho ni ujinga wa hali ya juu kabla ya Maresca kuondoka inapanswa hawa Stewart Laurance and Paul Wistanley inapaswa waondoke wakiendelea kuwepo tutaendelea kulalamika kila siku na kila kocha tutamuona.

Hii ownership ni matapel 4 yrs now na bado tunahangaika hata kupata Mdhamin tu imekuwa changamoto
 
Sawa, lakini tusipochanga karata vizuri tutaweza tusiipate hata top four maana kwa sasa tunaangusha sana points
Tunayo mechi 20 bado, safari ni ndefu bado, bingwa pekee na mpinzani wake wa karibu ndio watakuwa na pumzi ya kuizidi Chelsea hao wengine watajichokea njiani. Wa kumuombea hapa ni Maresca tu maana naona anafanya maamuzi kama ya Gittens
 
Maresca anaweza kuwa na matatzo yake ila tatizo kuu kwa sasa ni hawa SD

Huwez spend 1+BN na bado team inaonekana inamatobo kila sehem,Dirisha lilipita lilikuwa la kuboresha badala yake ndio tumeregress.

Unaspend 90M kwa winga ya Gittens na Garnacho ni ujinga wa hali ya juu kabla ya Maresca kuondoka inapanswa hawa Stewart Laurance and Paul Wistanley inapaswa waondoke wakiendelea kuwepo tutaendelea kulalamika kila siku na kila kocha tutamuona.

Hii ownership ni matapel 4 yrs now na bado tunahangaika hata kupata Mdhamin tu imekuwa changamoto
Je kama wamepewa terms of reference na wamiliki. Na wao waondoke! 😂
 
Cucurella naye atafanyiwa scan ya majeruhi anaweza asiwepo baadhi ya mechi ikiwemo hii ya Bornemouth
1766988258047.png
 
Estavio jana sikuona mpira wowote wa hatari aliotengeneza kwenda goal la wapinzani..Ni mara kumi alivokuwepo Palmer
Hii kitu nishawahi kuisema humu, Estevao ni mchezaji mzuri sana ila inategemea na performance ya timu nzima kwa ujumla ndipo utamuona Estavao akifanya vzr, Ila kama timu nzima imebanwa bc Estavao hana lolote la kuonyesha
 
Maresca pia anamharibu. Cole Palmer na Estevao Willian wange cheza vizuri sana wakati wa Pochettino kwa sababu Poche angewaweka kwenye mfumo huo wa kucheza klila mechi kama alivyofanya kwa Palmer
 
Je kama wamepewa terms of reference na wamiliki. Na wao waondoke! 😂
Wamiliki nao hamna kitu kichwani hence hatuwez pata watu wanaojielewa kwa sababu yao sitoshangaa Maresca akiondoka Msim huu

Unaspend 1BN kwenye usajil then team bado inamapengo km yote hutaki kocha aulize sajil
 
Wachezaji wanaohitaji muda zaidi wa kukua​

  • Jamie Gittens – miaka 21
  • Alejandro Garnacho – miaka 21 (japo anafanya vizuri, ataendelea kuboresha kiwango chake kadri muda unavyokwenda)
  • Jorrel Hato – miaka 19
  • Liam Delap – miaka 22
  • Estevao Willian – miaka 18 (anafanya vizuri, ataendelea kufanya vizuri zaidi kadri muda unavyokwenda)
  • Marc Guiu – miaka 19 (kwa sasa hafanyi vizuri sana, lakini umri wake unampa nafasi ya kukua)
  • Andrey Santos – miaka 21 (anafanya vizuri, ataendelea kuboresha kiwango chake)
  • Tyrique George – miaka 19 (bado ana nafasi ya kukua kutokana na umri wake)
  • Josh Acheampong – miaka 19 (anafanya vizuri, ataendelea kufanya vizuri zaidi)

Wachezaji ambao huenda hawatafanya zaidi ya walipo sasa​

  • Tosin Adarabioyo – miaka 28
  • Benoit Badiashile – miaka 24
  • Axel Disasi – miaka 27
  • Raheem Sterling – miaka 31
Kwa ujio wa Emanuel Emegha kusajili striker sio busara
Hata kama Mamadou Sarr anakuja kusajili beki wa kati mzoefu wa kutosha kama akina Marc Gui ni jambo la lazima kwa dirisha hili la Jan uari
 
Wachezaji wanaohitaji muda zaidi wa kukua​

  • Jamie Gittens – miaka 21
  • Alejandro Garnacho – miaka 21 (japo anafanya vizuri, ataendelea kuboresha kiwango chake kadri muda unavyokwenda)
  • Jorrel Hato – miaka 19
  • Liam Delap – miaka 22
  • Estevao Willian – miaka 18 (anafanya vizuri, ataendelea kufanya vizuri zaidi kadri muda unavyokwenda)
  • Marc Guiu – miaka 19 (kwa sasa hafanyi vizuri sana, lakini umri wake unampa nafasi ya kukua)
  • Andrey Santos – miaka 21 (anafanya vizuri, ataendelea kuboresha kiwango chake)
  • Tyrique George – miaka 19 (bado ana nafasi ya kukua kutokana na umri wake)
  • Josh Acheampong – miaka 19 (anafanya vizuri, ataendelea kufanya vizuri zaidi)

Wachezaji ambao huenda hawatafanya zaidi ya walipo sasa​

  • Tosin Adarabioyo – miaka 28
  • Benoit Badiashile – miaka 24
  • Axel Disasi – miaka 27
  • Raheem Sterling – miaka 31
Kwa ujio wa Emanuel Emegha kusajili striker sio busara
kama Mamadou Sarr anakuja kusajili beki wa kati mzoefu wa kutosha kama akina Marc Gui ni jambo la lazima kwa dirisha hili la Jan uari
Chesi
Man u
Madrid

SIO TIMU ZA PROJECT
 
Mkuu tafuta juisi unywe🤠🤠...kina Saka na Madueke ni mbali sana huko....tukimchezesha Nwaneri tu kule Winger anampika hyo kilaza wenu vzuri tu....siku Ile kakutana na kimeo Calafiori kaishia kukimbiakimbia tu.....tafuteni mabeki wa kueleweka ndugu zetu...huu ushauri tunawapa kwa moyo safi sana....
Yaani hao ndio wachezaji unategemea wakupe ubingwa?!! Madueke Efusii

Huwa mnabishaga hivyo hivyo, ila mkiwanunua kutoka chelsea wanawaeka hao mnaowasifia benchi. Arse88 mna ushabiki kuliko uhalisia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom