Kwamba hizo team nyingine zinakuwa zinacheza hovyo kumsubiria Palmer?Mechi bado nyingi sana, ni mapema mno. Palmer akisha fikia form yake na tukasajili defender wa kumsaidia Chalobah it will be better
Kwamba hizo team nyingine zinakuwa zinacheza hovyo kumsubiria Palmer?Mechi bado nyingi sana, ni mapema mno. Palmer akisha fikia form yake na tukasajili defender wa kumsaidia Chalobah it will be better
Dakika 20 nyuma anasema hichi kiwango ni balaaMechi bado nyingi sana, ni mapema mno. Palmer akisha fikia form yake na tukasajili defender wa kumsaidia Chalobah it will be better
Sanchez kwa sasa ni golikipa haswa anaangushwa na wenzie tuTumefungwa ndio, ila nmemuangalia Sanchez Kwenye mechi Hizi za karibuni, jamaa sasa hv yupo vzr mno hana makosa yale ya kipuuzi kama ya kipindi cha nyuma.
Kuna winga pale Arsenal anaemkaribia Estevao??Chelsea mna tatizo moja tu....hamtaki kujenga timu kwa akili na umakini ila mna mihemko....timu Kila baada ya siku 2 inasajili....Tena Bora ilenge sehemu muhimu....wanazoazoa tu....sasahivi sioni ubora wa Gittens...Garnacho mmepigwa mchana kweupe...yule Estevao nn kimemkuta...yupoyupo tu....shida yenu nyny ni mabeki kule nyuma....Kila siku tunawaambia....huwezi shinda Kila gemu goli 3...Kuna gemu utahitqji goli moja na kushikilia bomba mwanzo mwisho....hiko nyny hamkiwezi.....fanyeni yte mapimbi nyny ila wiki ijayo mkakaze makalio mtoe hata draw na Man city
Estavio jana sikuona mpira wowote wa hatari aliotengeneza kwenda goal la wapinzani..Ni mara kumi alivokuwepo PalmerKuna winga pale Arsenal anaemkaribia Estevao??
Sisi hatuna uwezo wa kumfunga City na hata kama tulikua na uwezo huo tupo bega kwa bega kuhakikisha tunafungwa na City. Sisi furaha yetu ni kumfunga Arsenal tu.Chelsea wasaidie ndgu zenu wa London,Arsenal Kwa kumfunga Man city Januari4, ingawa mna record mbaya sana Kwa man city ya guadiola, mna mechi zaidi 15 hamjafunga since fainali UEFA 2021 mkiwa na Kocha T.T mkijitahidi sana draw sijui ya 1-1,4-4 nk...
Japo nae Arsenal wiki ijayo ana kibarua kigumu Tena Kwa Aston Villa inabidi ashinde asisubiri tu Man city ateleze. So "the ball is in your court" mfungwe muendelee kutoka nje top4/5 ya Uefa na Mbio za Ubingwa zifutike Rasmi. Tusubiri tuone.
Jana Halland hajafunga kwa hiyo ni mchezaji mbaya??Estavio jana sikuona mpira wowote wa hatari aliotengeneza kwenda goal la wapinzani..Ni mara kumi alivokuwepo Palmer
Nani kakwambia tunataka kumfunga City?! Nyie wenyewe kumfunga hamuezi ndio mnatusukumia sisi.Hamuwezi kumfunga mancity kwa kumtegemea kiungo garasa Caicedo 😂😂😂😂😂
Kuna winga pale Arsenal anaemkaribia Estevao??
Hapo kene kumfunga Arsenal sasa🤣🤣...sijui mara ya mwisho lini....yaani Kila siku mnajaribu kwlikwli ila mnaishia kupasuka tu....jengeni timu kwanza kwa Miaka kama 10 ndo mfikirie kutufunga mkuuSisi hatuna uwezo wa kumfunga City na hata kama tulikua na uwezo huo tupo bega kwa bega kuhakikisha tunafungwa na City. Sisi furaha yetu ni kumfunga Arsenal tu.
Kocha amekuwa mpuuzi sana, ile mechi ya jana tuliwazidi Aston Villa kila idara. Anatolewa Cucu na Palmer na Garnacho walioipa uhai timu un aleta Gittens na Delap unamuacha uwanjani Badiashile. Kocha anajikoroga sana kama mwaka jana hadi apigwe za uso ndipo akili irudiYani sisi tukikutana tu na timu yoyote hata nje ya top four iliyo katika ubora wake au imechangamka kidogo tu sahau kushinda