Mpira tunaocheza Siku hizi ni wa kiseng€ , hivi ni nini kilimfanya Maresca kubadilisha style ya kucheza ile tuliyokuwa tunatumia miezi mitatu ya kwanza alipoingia Chelsea ? ,ile style ndio inatufaa .Kucheza kwa kasi pasi fupi na ndefu na kumkimbiza adui mwanzo mwisho huku tukimiliki mpira bila kupoza mashambulizi ...........ile style nakumbuka tulizitandika Timu zote tulizokutana nazo na walipata shida hata kujua wamkabe nani ,hasa viungo na mabeki wa timu pinzani tulizocheza nazo .......Wadau naomba mnipe majibu .........Huyu kichwa andazi maresca ananitia kinyaa Sana sasa hivi