Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Watu wanasema tunajisahau eti kwakua timu inafanya vibaya saivi ndio tunatoa lawama kwa kocha. Hapana, mimi nimeanza kuonya kuhusu maamuzi na vitendo vya kocha toka msimu uliopita kuna mechi tunashinda kuna mechi tunatoa sare na kuna mechi tunafungwa kihalali kwa kuzidiwa kimbinu.
Mfano mechi na Bayern tunafungwa goli tatu walituzidi kiasi unaona timu imejitahidi ila ubora umeamua. Sasa mechi na Atalanta ni mawenge ya kocha mwenyewe. Kuanzia kupanga kikosi mpaka sub zake, huwezi kuweka mabeki watano na wakati una Santos anaweza kaba pia akasaidia kushambulia.
Yan sisi kila siku ni watu wa kuomba kocha aamke vizuri apange kikosi vizuri na asipate bipolar hapa katikati. Maisha gani haya