Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo tunalingana point na Man Utd tukiwa nafasi ya tano na wakati tulikua nafasi ya pili wiki moja nyuma
Ndio mwenendo wa ligi inavyokuwa. Tukumbuke pia kuwa sio kama tuna timu nzuri sana, wachezajki wengi bado wanakua
Experience and elite players ni
  1. Robert Sanchez
  2. Reece James
  3. Wesley Fofana
  4. Moises Caicedo
  5. Enzo Fernandez
  6. Pedro Neto
  7. Marc Cucurella
James na Fofana hawawezi kucheza mara 2 kwa wiki
Caicedo kadi nyekundu na ile mechi na Leeds Kocha aliboronga na aliomba msamaha, line up ya kumuweka Tosin na approach ya game ilikuwa sio nzurio kabisa, hata hiyo mecho na Bornemouth tuliponea chupu chupu tu.
Hao wengine waliobaki aidha sio elite au bado wanakomaa
Kwa upande wangu bado naamini Maresca anajitahidi, angekuja kocha mwingine angeyumba hivyo hivyo
Levi Colwill na Cole Palmer wangekuwepo wazima sasa hivi tungekuwa na matokeo tofauti

Hata hivyo tumeshacheza mechi 15, Ushindi 7, Sare 4, Kichapo 4. Sawa na Man United. Pengo kwa Arsenal = pointi 8, pengo na katikati ya jedwali = pointi 10.

Ligi bado ngumu na mbichi, kila timu lazima ishinde mechi zake. Hakuna upande “mbaya.” Wala Man united wala Chelsea hawafanyi vibaya. Uamuzi wa kweli ni Mei.
 
Uko sahihi kabisa ila tumachosema huyu kocha ni wa kawaida ni palr ambapo pamoja na changamoto zote za majeruhi na uchanga wa kikosi ila mechi sio za kupoteza point hata 2 unashangaa tunafungwa. Mechi dhidi ya Leeds & Sunderland hizi hamna hamna hata sare ndugu yetu ndio kagawa point tatu kwao.

Sasa imagine mwenyewe Man City ndio anarudisha form yake halafu hatujacheza naye hata mechi moja na ndio round ya kwanza. Kama timu vitu hovi lazima viende kimkakati pamoja na hizo changamoto tajwa.
 
Enzo Maresca kuhusu kukabiliana na Atalanta:
"Unaweza kuona timu nyingi zinacheza back 5, timu nyingi zinajaribu kucheza man-to-man kila mahali. Ukienda chooni, wanakufuata kila mahali."
 
Enzo Maresca kuhusu kukabiliana na Atalanta:
"Unaweza kuona timu nyingi zinacheza back 5, timu nyingi zinajaribu kucheza man-to-man kila mahali. Ukienda chooni, wanakufuata kila mahali."
Mbona Kama anawapa mbinu na anahofu sana kwa kuliongelea hivi kwasababu ana struggle kwa team inayocheza aina hiyo ya mpira
 
Mbona Kama anawapa mbinu na anahofu sana kwa kuliongelea hivi kwasababu ana struggle kwa team inayocheza aina hiyo ya mpira
Saa nyingine Marecsa hatabiriki. Inaweza kuwa hapo tayari ameshaweka game plan na sasa anazuga tu kwenye press conference
 
Tofauti ya Gitten na Garnacho ni ipi? lembu
Gittens anaweza kufanya dribbling nyingi japo nyingi zinafeli lakini zilizofanikiwa hutoa pasi nzuri kwenye boksi - Garancho hawezi kufanya sana dribling.
Garnacho ana speed, Gittens hana
Garnacho hutumia speed yake kuingia mipira kwenye boksi mara nyingi zaidi
Garnacho anaweza kuitoa pasi nyingi za kuiwachezesha wenzako zaidi ya Gittens
Katika kropsi nyingi wanayojaribu, Garnacho anafeli zaidi ya Gittens
Pia katika pasi ndefu, Garnacho anafanya kwa usahihi zaidi ya Gittens
Garnacho ana 1.71 expected assists zaidi ya Gittens mwenye wastani wa 0.51ea
Garnacho anatengengeneza nafasi zaidi ya Gittens
Garnacho amefun ga na kuassists zaidi ya Gittens
Garnmacho naona amekomaa kidogo kwenye kufanya maamuzi ila Gitten bado mchanga
Hizo ndizo tofauti kwa maoni yangu Garnacho ni mzuri zaidi labda kwa sababu pia ana uzoefu na EPL zaidi ya Gittens
 
Timu imejaa matakataka ikiongozwa na kubwa jinga Maresca
Chelsea takataka wamewapiga PSG ya kocha wako kipenzi (Luis Enrique) kwa 3-0 na kubeba kombe la dunia.
Halafu tena Chelsea takataka wakawafunga Barcelona ya bosi wako kipenzi (Hansi Flick) kwa 3-0, wakawaacha hao wakihangaika kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya UCL.
Sasa, sisemi Maresca ni kocha bora kuliko wote, lakini huyu mnyonge anastahili maua yake — si kila wakati anatukanwa.
 
Saa nyingine Marecsa hatabiriki. Inaweza kuwa hapo tayari ameshaweka game plan na sasa anazuga tu kwenye press conference
Team karibia wote zilizocheza huo mfumo kafungwa na kudraw Sasa sijui hata Kuna na solution Mimi naonaga anawaweza wakubwa ambao hawatumii huo mfumo kuliko hizi team nyingine
 
Atalanta vs Chelsea
4-2-3-1
-----------Joao Pedro------------

--Gittens ------------- Enzo-------- -- Neto

-----Caicedo -----------------James (C)-----

Cucurella--Chalobah--Badiashile--Acheampong

----------Sanchez---------
Subs
  1. Jorgensen
  2. Merrick
  3. Gusto
  4. Fofana
  5. Tosin
  6. Hato
  7. Andrey Santos
  8. Estevao
  9. Buonanotte
  10. Garnacho
  11. George
  12. Guiu
 
Enzo Fernandez kamchongea James aliyelazimisha mpiara kwa Joaj Pedro
Atalanta 0 - 1 Chelsea
 
Kuna namna araujo yule wa Barcelona hayupo sawa kiakili tangu tulipowafunga, nae kupewa red card
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom