Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeutazama aina ya uchezaji wa Estevao kwa muda mrefu na nikajua kwamba

Ubora wa Estevao unaonekana pale timu mzima ikiwa ina-perform vzr tuu Na sio kama timu mzima ipo kwenye presha.

Angalia performance yake kwenye mechi ya kombe la dunia ambalo alitufunga.

Angalia performance yake kwenye mechi ya Barcelona halafu angalia performance yake Kwenye mechi ya Leeds, unaweza kudhani ni wachezaji wawili tofauti.

Kocha hawezi kumuingiza kwa nia ya kumtegemea kutupatia ushindi kwenye game ambalo tunateseka, ila anaweza kumuingiza kwa nia ya kuongeza goli kwenye game ambalo tayari tunaongoza kwenye kila idara.

Anyway, kwa umri wake na performance yake kwa ujumla, estevão ni mchezaji bora mno.
 
Kwamba mabeki ni watano ndani ya uwanja?

Anyway, sasa kwa mechi kama hii ambayo kocha anamtoa mchezaji wa kati na kumuingiza beki ili mabeki Wawe watano, hapa akimuingiza Estevao ni kwenda kumchosha tuu.
 
Difensi ikiwa na Badiashile na Tosin, unategemea nini?

Chelsea walikuwa wabovu hata baada ya kutangulia kufunga

Naona Maresca amesalimu amri kwa timu zenye kutumia Back 5
 
Kwa goli lile la Arsenal lililofungwa na Merino na goli la leo lililofungwa na Scamacca sasa naamini Chelsea inamuhitaji beki wa kalinba ya Silva sio hawa watoto wanashindwa kumfanyia marking mfu8ngaji anafunga kama goli la wazi
 
Mental strength ya wachezaji wa Chelsea iko chini sana, isipoinuka, Decemba itakuwa ndefu kama, mwaka
 
Difensi ikiwa na Badiashile na Tosin, unategemea nini?

Chelsea walikuwa wabovu hata baada ya kutangulia kufunga

Naona Maresca amesalimu amri kwa timu zenye kutumia Back 5
Kwa hiyo tutakuwa ni wa kupoteza tu kwa timu za namna hiyo?, hivi Atalanta kweli wa kuisumbua Chelsea hivi, kocha unaingia na rundo la mabeki kwa timu kama Atalanta!!!?,huyu kocha hatufikishi popote aisee hata kombe la dunia vilabu upepo tu ulikuwa upande wake

Hakuna kocha hapa tusijipe matumaini aisee
 
Maresca kocha wa kawaida sana.
20251210_012559.jpg
 
Hii kauli niliwahi kuisema tulivyofika fainali kombe la dunia, Raia humu Wakaishia kunipa maneno makali 😂

Ila huu ndio ukweli, kwenye kombe la dunia hatukupita kwenye njia ngumu.
Sometimes mpira n bahati, na sisi tulipita na bahati.
Na hata ya PSG haikuwa ngumu fainali
Mimi naona timu yeyote ikifungwa fungwa kidogo tu, mashabiki wanapoteana na akili inahama na kusahau mema yote ya nchi. Ni kawaida ya mwanadamu
Chelsea shida zake za msingi zinajulikana
Cole Palmer ni achitech wa mashambulizi hawa wengine wanaigiza tu
Difensi yetu is still "UNDER CONSTRUCTION"
Winga wetu is still "UNDER DEVELOPMENT"
Striker wetu bado wako "UNDER TEST"
Muwe na subiri na aminini PROCESS bado hatujafika nchi ya ahadi, Confernece league na FIFA WC ilikuwa tu ni asali na maziwa njiani
 
We jamaa bana kwa kutetea ujinga wa wazi unastahili tuzo,

Kocha yupo na timu zaidi ya miezi 18 bado anafanya experiment zisizo na muendelezo alafu unaamini timu itapata cohesion kwa kubadilisha game approach kila mechi tena kwa kuvuruga mpaka position za wachezaji
Mfano jana timu ipo 1-1 unamuingiza RB Gusto akacheze AMF ,
Ameumia Fofana unaingiza beki tena wakati kuna defensive player 6 ndani as if unakabiliana na Bayern Allianz kumbe ni Atlanta
Huyo Enzo kachoka lakini kila mechi ataanzishwa
Kesho utamkuta Achempong kama RW, Kesho kutwa CB week ijayo DM yaani ni full mauzauza hii ndio underprocess unayoiona?
Timu haina flow wala rhythm inafurahia kupoza mechi kitu ambacho timu ndogo na za wastani zinafurahia bado unaamini huyu kilaza kuna kitu anaimprove?
 
Nilimwambia lembu kuwa team yetu haina sharpness kwenye kushambulia tupo slow sana ndio maana tunashindwa kumudu hizi team za kawaida tunashida kwenye ubunifu ndio maana sometime forward wetu Kama Jaoa Pedro anaonekana kawaida kwa sababu chances hazitenezwi za kutosha inamfanya muda mwingine ashuke chini achukue mipira, Enzo ni mpambanaji lakini hakuna anachooffer mbele uongozi ulizingua kutomsajili Xavi Simons yule jamaa angetusaidia wameenda kumsajili unproven player focundo ambaye hafiti aina ya uchezaji unatakiwa Kama no 10.Mpira ule wa msimu uliopita mpaka tukashika nafasi ya 2 ndio mzuri si huu wa Sasa ambayo tunapata shida kutengeneza nafasi kwa sababu tunawapa muda mpinzani kujipanga kwenye kujilinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom