Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,486
- 3,350
Poleni sana wana CHESI
Wachezaji wake muhimu hawakochelsea ni kama uyoga, sometimes mboga sometimes sumu.
huyo kocha ni fwala kqbsa mechi ngumu anakomqq, mechi ndogo anapigwa?? timu ndogo ndogo ni nyingi kuliko kubwa. tungekuwa nq kocha anayejielewa hili kombe tulikuwa tunabeba
Team pia haina sharpness kwenye kushambulia hii inatucost sana kwenye mechi zetu dhidi ya team ndogo🙁
Wachezaji wake muhimu hawako
Nategemea sana
Hao wachezaji wanne wakikosekana tena kwa zaidi ya mchezaji mmoja ndio mbaya zaidi
- Moises Caicedo
- Cole Palmer (Akiwa fit)
- Cucurella
- Levi Colwill
Sababu tayari imeelezwa hapo juu.Team pia haina sharpness kwenye kushambulia hii inatucost sana kwenye mechi zetu dhidi ya team ndogo
Kama kuwa sharpness tunategemea mpaka tuwe na wachezaji fulani basi hatuna uwezo wa kugombea ubingwaSababu tayari imeelezwa hapo juu.
Jana, mchezaji pekee aliyekuwepo alikuwa Marc Cucurella.
Cole Palmer hakuonekana sana kwa sababu bado hajarejea kwenye fitness yake.
Moisés Caicedo alipokea kadi nyekundu na atakosa mechi tatu, ikiwemo ile ya jana.
Levi Colwill hatapatikana kwa msimu mzima wa 2025/26.
Kutokuwepo kwao kunagusa moja kwa moja ukali wa mashambulizi ya Chelsea:
- Cole Palmer: Palmer ana uwezo wa kutengeneza nafasi out of nothing na kurahisisha mashambulizi. Hata wachezaji wa kawaida huonekana bora kwa sababu ya nafasi anazowaandalia. Ubunifu wake ni muhimu sana katika kufanya mashambulizi yawe laini na hatari.
- Moisés Caicedo: Caicedo anaweza kuvuruga harakati za wapinzani katika maeneo yasiyotegemewa, kuvunja mpangilio wao na kusababisha Chelsea kuanzisha mashambulizi ya kushtukiza wakati bado safu ya ulinzi ya opponent ikiwa bado haijakaa kwenye shape nzuri.
- Levi Colwill: Colwill anajulikana kwa pasi zake sahihi zinazovunja mistari, ambazo zina athari sawa na tackling na interception za Caicedo. Pasi hizi huwapata wapinzani wakiwa hawajajiandaa, na kusababisha magoli au presure kubwa. Kwa sasa, Chelsea haina beki mwingine mwenye uwezo huu wa kipekee.
- Marc Cucurella: Nguvu ya Cucurella ipo katika kuoverload katikati na kwenye winga wa kushoto. Hii inarahisisha maisha ya wachezaji wa Chelsea uwanjani. Msimu uliopita, alichangia sana kwenye magoli—iwe kwa kufunga mwenyewe, kutoa assists, au kuanzisha buildup play.
Huwa inakuwaje kuwaje hiyo 😂Amna timu humu
Pombe ya ngomani
Kama kuwa sharpness tunategemea mpaka tuwe na wachezaji fulani basi hatuna uwezo wa kugombea ubingwa
Mimi nazungumzia usharpness wa kushambulia sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja hili ni suala la team work kitu ambacho naona hatukifanyi ndio maana tunakutana na wakati mgumuMan City walidominate tangu 2018 hadi 2024 wao walikuwa na watatu tu ambao ungewaondoa City ingekuwa takataka kama hizi zingine za kugomea midtable au Conference League
Rodri kaenda majeruhi na KDB kastahafu Man City wanastrugle
- Kevin De Bruyne
- Rodri
- Halland
Liverpool: Wao walikuwa na wanne
Timu zozote taja, lazima kuwepo key players ambao wakikosekana hiyo timu inakuwa takataka kama timu zingine
- Virgil van Dijk
- Mohamed Salah
- Sadio Mane
- Alisson Becker
Angalia Arsenal wanavyoanza kustrugle na mashabiki wao kulia majeruhi kila kona, Unajua wachezaji gani wanamiss
Wachezaji muhimu Chelsea tangu 2004 kwenye misimu ya kubeba makombe
Chelsea 2004/5 EPL ya kwanza
Key Players:
2005/06 EPL back-to-back
- Frank Lampard,
- John Terry,
- Petr Čech,
- Didier Drogba,
- Claude Makélélé
Key Players:
2009/10 (EPL chini ya Ancelotti)
- Frank Lampard,
- John Terry,
- Petr Čech,
- Didier Drogba,
- Claude Makélélé
Key Players:
2011/12 UCL chini ya Dimateo
- Didier Drogba (Golden Boot, 29 goals),
- Frank Lampard,
- John Terry,
- Petr Čech,
Key Players:
2014/15 (EPL)
- Didier Drogba
- Petr Čech
- Frank Lampard,
- John Terry
- Ramires
Key Players:
2016/17 (EPL chini ya Conte)
- Eden Hazard (PFA Player of the Year),
- Diego Costa,
- Cesc Fàbregas,
- Nemanja Matić,
- John Terry
Key Players:
Hao wachezaji ukimuondoa mmoja timu inayumba
- Eden Hazard,
- Diego Costa,
- N’Golo Kanté (FWA Player of the Year),
- César Azpilicueta,
- Cesc Fàbregas
Ukiwaondoa wawili, timu inasrugle sana
Ukiondoa watatu timu imekufa kabisaa
Ningekutolea na timu zingine nje ya EPL bali hizi mifano inatosha kupata p[icha kubwa nilikuwa namaanisha nini
Wachezaji wanafanywa kuwa bora kwa muktadha huo, nimeeleza huko mbele jinsi wachezaji hao muhimu kwenye timu wanavyoweza kuwafanya na matakata wengine kuwa bora, sharpness is included kwenye huo ubora. Chukulia mfano Chalobah alivyokuwa bora akiwa na Silva na tofauti akicheza na TosinMimi nazungumzia usharpness wa kushambulia sio ubora wa mchezaji mmoja mmoja hili ni suala la team work kitu ambacho naona hatukifanyi ndio maana tunakutana na wakati mgumu
Saa nyingine kocha na wachezaji ni wa kuwaonea huruma tu, kuna vitu vingi sana vinategemeana kwenye footballUjinga mwingi kwa kocha na wachezaji.
Mbona Conor Gallagher alikuwa Hana ubora lakini alikuwa sharpnessWachezaji wanafanywa kuwa bora kwa muktadha huo, nimeeleza huko mbele jinsi wachezaji hao muhimu kwenye timu wanavyoweza kuwafanya na matakata wengine kuwa bora, sharpness is included kwenye huo ubora. Chukulia mfano Chalobah alivyokuwa bora akiwa na Silva na tofauti akicheza na Tosin
Angalia ulegevu wa timu akikosekana Caicedo. Kule mbele Palmer akiwe kwenye form Chelsea inakuwa among the team zenye foward hatari ila akikosekan Palmer inconsistency inatawala. Key players ndio maana wanaitwa key players. WANAWEZESHA YASIYOWEZEKANA YAWEZEKANE.
SHARPNESS is a factor of different elements ambayo huwa inaletwa na hao key players.
Tukubali tu hio ndio sheria ya football ecosystem.
Hata kwenye maisha ya kawaida hao key people wako.
Kuna kiongozi akitawala tu Wataanzania wote tunaoneka sharp na kuna kiongozi mwingine akitokea, nchi inakuwa takata.
Hata kwenye familia, kuna key family members na wengine fuata mkumbo ETC. ETC. ETC.
Chaos, wala usingejisumbua kutoa mfano wa Conor Gallagher. Alikataliwa kwa sababu ya flaws nyingi alizokuwa nazo kwenye mpira wake. Na pia Chelsea haikuwa kwenye form yeyote ya kuwasifia key players. It was a shamble Chelsea. At least timu inapopigania kitu fulani kwenye ligi ndio utaona umuhimu wa key playersMbona Conor Gallagher alikuwa Hana ubora lakini alikuwa sharpness


kwa kocha. Wachezaji huwezi laumuUjinga mwingi kwa kocha na wachezaji.
Leo tunalingana point na Man Utd tukiwa nafasi ya tano na wakati tulikua nafasi ya pili wiki moja nyumaIla Maresca kocha wa kawaida sana.