Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo hili li timu letu leo linacheza vizuri halafu kesho Lina haribu 😫😫😓😓
Katika mechi 5 bila Palmer na Colwill imeshinda 4 ikafungwa moja, hapo umesema uongo mzee. Timu iko nafasi ya pili, leo City na Liverpool wakicheza itahamia kwenye nafasi ya tatu hadi International Break iishe of course kama Bornemouth hatashinda dhidi ya Aston Villa. Tunakwenda mdogo mdogo, lengo letu ni top 4 ila Arsenal wakizingua Desemba, january tunasajili beki halafu tunabeba kombe
1762680478195.png
 
Mbuzi kala gitaa, Gusto kafunga goli lake la kwanza kwenye career yake
Juzi tuu hapa nimetoka kuona post ikisema Gusto hajawahi kufunga goli.
Ila kwa position yake huwezi kumjaji kwa magoli.

Hatimaye 🙌
 
Boya na takataka wetu huyo ana clean sheet 5 mbili nyuma ya Raya
Hata hizo mechi nyingine alizokosa clean sheet ni kwa sababu ya akina mjomba Tosin na wenzake
1762695980032.png
 
Ninyi mnaotutembelea ebu jibuni hili swali
Chelsea wana Estevao Willian na Barcelona wana Lamine Yamal
Je timu yako ina nani?

Usitukane wala usikwepe swali
1762696846712.png
 
Estevão Willian ni mchezaji mwenye impack ya haraka. Hahitaji dakika—sekunde tu zinatosha. Enzo Maresca anatakiwa awe anaweka kumbukumbu.

Estevão Willian (18) ana ukomavu wa maamuzi mara kumi zaidi kuliko Alejandro Garnacho (21), Jamie Gittens (20), Malo Gusto (22), Joao Pedro (24), na akademi yote ya Chelsea kwa ujumla. Bado ni mgeni nchini England na kwenye Ligi Kuu—mchezaji wa kipekee kabisa.
View attachment 3499218
Hapo ndipo ninashindwa kumuelewa Maresca hata kama ni hoja ya Pedro Neto mbona hata huyu dogo anakaba, Pedro Neto anahitaji pace ndio huwa anakuwa Bora lakini kwa Estevao hata kwenye tight space huwa ni Bora anajua kupunguza opponent
 
Hao wote takataka, ilipotokea majeruhi ya Levi Colwill, beki aliyeibeba beki yote pale nyuma Marseca aliomba asajiliwe beki wa kuja kuziba hiyo nafasi, SD wakakataa, wakapuuza. Swala la Chalobah au Tosin kuingia majeruhi haina impack kama majeruhi ya Colwill. Mada ndio ipo hapo
Point yangu Mimi ipo hapa pamoja na hao mabeki tuliona bila kujali ubora wao lakini pia ni injury prone hawapatilani kwa muda wote huo ndio ugumu uliopo alafu pia SD hawamkutendea haki kwenye replacement ya Cole Palmer kocha alimtaka Xavi Simons wao wakamleta Focundo ambaye aina yake ya uchezaji ni tofauti na mahitaji ya kocha
 
Katika mechi 5 bila Palmer na Colwill imeshinda 4 ikafungwa moja, hapo umesema uongo mzee. Timu iko nafasi ya pili, leo City na Liverpool wakicheza itahamia kwenye nafasi ya tatu hadi International Break iishe of course kama Bornemouth hatashinda dhidi ya Aston Villa. Tunakwenda mdogo mdogo, lengo letu ni top 4 ila Arsenal wakizingua Desemba, january tunasajili beki halafu tunabeba kombe
View attachment 3499320
Nawaza hapa Cole Palmer akirudi na combination yake na Estevao una excited kutazama uzuri wa football utaanza kuuona
 
Point yangu Mimi ipo hapa pamoja na hao mabeki tuliona bila kujali ubora wao lakini pia ni injury prone hawapatilani kwa muda wote huo ndio ugumu uliopo alafu pia SD hawamkutendea haki kwenye replacement ya Cole Palmer kocha alimtaka Xavi Simons wao wakamleta Focundo ambaye aina yake ya uchezaji ni tofauti na mahitaji ya kocha
Hata mimi sikuwahesabu hao injury prone, baada ya majeruhi ya Colwill, Mresca alitaka replacement akanyimwa, story ikaishia hapo sasa tunategemea pairing ya Fofana na Chalobah naona ndio inatupa matokeo mazuri ila Fofana ni beki spana mkononi.
Palmer sio tatizo sana, Chelsea inaongoza ligi kwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli. Facundo ni mchezaji mzuri kocha anamkwepa tu kwa sababu ni wa mkopo ila Facundo ni mzuri kuliko Joao Pedro kwenye no. 10 na Esetvao Willian kocha anasema ana mlind akwa sababu ya umri na ligi mpya. Ndio maana hamuanzishi mecho zote. Nahisi Janujary tutaingia sokoni au kumrudisha Mamadou Sarr. Tosin anaweza kutemwa kama akina Disasi na Sterling
 
Sijakuambia focundo ni mbaya nimekuambia aina ya uchezaji wake haufit no 10 anayotaka kocha elewa Kwanza hapo, no 10 ya focundo ni ile ya kisasa kama Delle Ali yaani unakuwa kwenye half space zaidi ya kuoperate mchezo mzima Kama anavyofanya Cole Palmer, focundo sio provider kivile na huwa hauisiki kwenye mchezo sana ila more efficient on goal ni Kama unavyomuona Thomas Muller au Delle Ali wanavyocheza ndio uchezaji wa focundo hapa sijui utakuwa unanielewa Sasa Maresca anahitaji no 10 ambaye ni operator kama unavyomuona Cole Palmer anavyocheza ndio maana akamuhitaji Xavi Simons ndio anahizo sifa na hata kwenye beki akuhitaji tu beki ambaye ni mzuri la hasha Bali awe ana sifa anazotaka yeye na ndio maana hakumuhitaji Guehi japo ni beki mzuri lakini Hana sifa anazozitaka yeye. Beki anayohitaji yeye awe ana sifa ya kupiga pass fupi na ndefu kwa usahihi, awe mzuri kwenye build up na kusoma mchezo mzima.
 
Ninyi mnaotutembelea ebu jibuni hili swali
Chelsea wana Estevao Willian na Barcelona wana Lamine Yamal
Je timu yako ina nani?

Usitukane wala usikwepe swali
View attachment 3499421
Kinachomweka Estevão Willian juu ya Lamine Yamal ni tabia yake. Estevão kila saa hufurahi na kufurahia soka, hata anapotendewa visivyo ndani na nje ya uwanja. Yamal mara nyingi huongozwa na kiburi na hasira. Katika soka, kipaji hufungua milango ya mafanikio, lakini tabia njema huacha alama ya mafanikio.
 
Sijakuambia focundo ni mbaya nimekuambia aina ya uchezaji wake haufit no 10 anayotaka kocha elewa Kwanza hapo, no 10 ya focundo ni ile ya kisasa kama Delle Ali yaani unakuwa kwenye half space zaidi ya kuoperate mchezo mzima Kama anavyofanya Cole Palmer, focundo sio provider kivile na huwa hauisiki kwenye mchezo sana ila more efficient on goal ni Kama unavyomuona Thomas Muller au Delle Ali wanavyocheza ndio uchezaji wa focundo hapa sijui utakuwa unanielewa Sasa Maresca anahitaji no 10 ambaye ni operator kama unavyomuona Cole Palmer anavyocheza ndio maana akamuhitaji Xavi Simons ndio anahizo sifa na hata kwenye beki akuhitaji tu beki ambaye ni mzuri la hasha Bali awe ana sifa anazotaka yeye na ndio maana hakumuhitaji Guehi japo ni beki mzuri lakini Hana sifa anazozitaka yeye. Beki anayohitaji yeye awe ana sifa ya kupiga pass fupi na ndefu kwa usahihi, awe mzuri kwenye build up na kusoma mchezo mzima.
Maresca Hana mwendelezo wa matokeo
 
Maresca Hana mwendelezo wa matokeo
Timu ya tatu huku kwenye msimamo wa ligi huku wachezaji muhimu hawapo kama Levi Colwill, Cole Palmer na wachezaji wengine muhimu wakicheza huku wana majeruhi akiwemo Moises Caicedo na Enzo Fenrnadez.

Kwa beki ya akina Tosin na Chalobah mlitaka matokeo gani na timu ya kuunga unga kama hii. Maresca mnamuonea sana na Mungu anaweza kuwalipa mabaya kwa kukosa shukrani.

Ndani ya msimu wake wa kwanza kabobe makombe makubwa mawili ambayoArteta ameshindwa kwa MASAA YOTE 43,080 AU Siku 1,795 kama kocha wa Arsenal
 
Excuses tu, kubeba EPL hapataki vijisababu kama hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom