Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

PARMER ALIKUA ANAPANDA KITANDANI AMEDONDOKA AMEPATA JERAHA JINGINE
NO.
Cole Palmer ameumia tena muda mfupi kabla hajaripoti mazoezini baada ya kupata mipasuko midogo ya kidole kidogo cha mguu alipogongesha kidole kwenye mlango wa nyumbani kwake kwa bahati mbaya.
Sio wakati anapanda kitandani.
 
Timu imecheza vibaya karibu mchezo wote. tumshukuru Mungu tulikuwa tukicheza na Burnley
Pamoja na line up mbovu lakini tumeweza kuwapumzisha Moises Caicedo, Wesley Fofana, Alejandro Garnacho, Estevao Willian na Reece James kwa dk 45
Pampja na kucheza vibaya tumeweza kuondoka Turf Moor na points 3, magoli mawili na clean sheet moja zaidi kwa Robert Sanchez na Timu kwa ujumla
Bila kusahau assist ya Marc Guiu
 
Hichi kitu asifanye kwa Newcastle au Bournemouth
 
Timu imecheza vibaya karibu mchezo wote. tumshukuru Mungu tulikuwa tukicheza na Burnley
Pamoja na line up mbovu lakini tumeweza kuwapumzisha Moises Caicedo, Wesley Fofana, Alejandro Garnacho, Estevao Willian na Reece James kwa dk 45
Pampja na kucheza vibaya tumeweza kuondoka Turf Moor na points 3, magoli mawili na clean sheet moja zaidi kwa Robert Sanchez na Timu kwa ujumla
Bila kusahau assist ya Marc Guiu
Ile assist ilikuwa bonge moja la assist
 
Mara nyingi chelsea ikitokaga international break na ikapangiwa kucheza mchana inapotezaga mchezo fanyeni utafiti. Chelsea kucheza ovyo jana ni matokeo kutoka international break. Pamoja na kucheza vibaya lakini ilitetea point 3. Laite chelsea ingecheza aidha na newcastle au boro basi ilikuwa inapoteza. All in all point 3 kibindoni
 
Jambo muhimu tumeweza kuwapumzisha baadhi ya wachezaji wetu Bora kama Caicedo, James, Estevao,Fofana na Garnacho
 
20251123_091952.jpg

Kuna hii celebration, ina maana gani? Nakumbuka Cucu alishafanya once.
 
Marc Guiu na Jarmie Gittens wanazidi kuwa imara zaidi ...madogo wanakipiga kweli kweli
 
Juzi tuu hapa nimetoka kuona post ikisema Gusto hajawahi kufunga goli.
Ila kwa position yake huwezi kumjaji kwa magoli.

Hatimaye 🙌
Hakuna mtu aliyemjaji Gusto kwa magoli. Yeye ni beki ambaye aninvert vizuri sana. Tataizo dogo la Gusto huwa saa nyingine hawi mchezoni na hivyo kufanya silly mistakes but bado ni mdogo na anaendelea kuwa mchezaji muhimu kwenye timu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom