Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,798
- 4,682
Huyo huyo Isak katoa AssistFlorian Wirtz bench pauni mil 116
Isak anarukaruyka tu pauni mil 150
Huyo huyo Isak katoa AssistFlorian Wirtz bench pauni mil 116
Isak anarukaruyka tu pauni mil 150
Assist kwa mil 150 na wewe unaona inalipaHuyo huyo Isak katoa Assist
Majirani Leo mmepeleka pumzi ya moto🤣🤣🤣....Van dijk akilala Leo atakuwa anastuka usingizini anapiga makelele....Mzee wa watu mmemkmbiza mchakamchaka kwlikwli🤣🤣🤣...well done Blues....London is blue💙 💙...au sio 😀Assist kwa mil 150 na wewe unaona inalipa
Majirani Leo mmepeleka pumzi ya moto🤣🤣🤣....Van dijk akilala Leo atakuwa anastuka usingizini anapiga makelele....Mzee wa watu mmemkmbiza mchakamchaka kwlikwli🤣🤣🤣...well done Blues....London is blue💙 💙...au sio 😀
Kwani we umewezaje kushabikia timu ambayo inacheza vizuri na haishindi makombeLeo nimepata tabu kweli kushabikia timu yenu.. muda wote presha juu.
Nyie mnawezaje hali hii week in week out?! 😂
Kuna yule saa mbovu wa liva, anakwambia tutafute kiungo wa kueleweka, kwa mujibu wake Caceido sio kiungo wa kueleweka. Akionekana tena hapa mnishtue
🤣🤣🤣Majirani Leo mmepeleka pumzi ya moto🤣🤣🤣....Van dijk akilala Leo atakuwa anastuka usingizini anapiga makelele....Mzee wa watu mmemkmbiza mchakamchaka kwlikwli🤣🤣🤣...well done Blues....London is blue💙 💙...au sio 😀
Assist yenyewe imemkuta tu mpira mmetumia hela ovyo kwa wachezaji wenye viwango vya kawaidaHuyo huyo Isak katoa Assist
Akikujibu hii swali nitagKwani we umewezaje kushabikia timu ambayo inacheza vizuri na haishindi makombe
Leo kwa Bosi mwenyeweKama kawaida yetu les blues devils,red card ya 4 consecutively,*****.
Kuna mhenga mmoja kasema Chelsea ingefungwa ungesikiaLeo wachezaji walionesha wanaitaka game hata pia kocha alionesha u serious kwenye first eleven aliyoichagua na pia hata sub zake alipatia