Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo ngoja niwambie ukweli mchungu.

Kila alie shabiki na mpenzi wa Chelsea FC asome hili andiko. Klabu yetu ya Chelsea ni ya kawaida sana wala msijidanganye kuwa tuna ukali wowote ule. Ata ile FIFA Club World Cup tulibahatisha tu.

Klabu yetu haina uwezo wa kupamba na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu. Kwa sasa level zenu ni Conference League huko, bado hatujawa na uwezo wa kuleta upinzani kwenye UEFA na UEFA Europa League. Huo ndio ukweli ukubali ama ukatae huo ndio uhalisia.

Huwezi kwenda kwenye mashindano makubwa kama UEFA wakati huo huo una lundo la wachezaji ambao ni matakataka tu. Wenzako wana silaha kweli kweli mfano, Harry Kane, Mohammed Sarah, Lamine Yamal, Mbappe Haaland na wengine wengi kuwaandikia wote sito weza. Wakati huo sisi tuna matakataka akina Enzo Maresca, Sanchez, Enzo Fernandez, Liam Delap, Jamie Gittens, Romeo Lavia, Facundo Buonanotte, Malo Gusto, Jorrel Hato na matakataka mengine.

Huwa nashangaa sana unakuta mtu hapa jukuani ana kaza mshipa kabisa eti kwa hilo lundo la matakataka kuna mahala watatufikisha, kwa kweli inasikitisha sana. Inapaswa tuelewe na tukubali wanao tuhalibia timu ni hawa wapuuzi walio uziwa hii timu. Hizi sajili za hovyo hovyo alafu wakati huo tukitaka matokeo chanja ni sawa na kuokota embe chini ya mnazi.

Klabu nyingine zinafanya sajili za maana eti sisi tunaenda kusajili watu kama Liam Delap, Jamie Gittens alafu unategemea upate matokeo chanya tunaacha wachezaji wazuri wa kutupa hiyo chanya tunakimbilia matakataka ambao ata hawajulikani walikuwa wanafanya nini hapo kabla.

Hapa hamna timu ya kuleta upinzani kwenye UEFA na EPL, level zetu saizi ni kina Sunderland, West Ham, Wolves, Leeds na wengine kama hao. Huwezi fika level za ukubwa wakati huohuo una lundo la matakataka.

Huo ndio ukweli mchungu, ukubali ama ukatae ila tambua huo ndio uhalisia wenyewe. Mtu anae fahamu na mpenzi wa mpira hawezi pingana na huu ukweli. Tizama kuanzia kikosi tulicho nacho na uchezaji tunao cheza kisha tathmini tunaweza kuwa bora mbele ya hao miamba. Sisi bado sana.
We ndio utakuwa takataka kama unamatarajio makubwa na team inayobadilisha utamaduni na kutegemea ichukue misimu michache kurudi kwenye consistency level ya ushindani
Chelsea iliyokuwa bora ilisifika kwa kucheza low block na kutumia counter attack hivyo ilihitaji wachezaji wazoefu kweli kweli na wasio na individual errors lakini wanatumika kama punda baada ya muda mfupi unawadump na kuleta wengine (kwa kucheza boring football)

Sasa model mpya inahitaji timu inayoweza kushindana kwa namna ya wall of attrition (piga nikupige) hiyo DNA haikuwahi kuwepo kabisa tofauti na Bayern, Barcelona, Real Madrid, Liverpool zina playing philosophy tayari haijalishi amekuja kocha gani ila misingi ya uchezaji haibadiliki
Pili unalalamika kwamba timu hainunui wachezaji wa maana utafikiri hao wachezaji wapo tu wamekutunzia wewe uje ununue kwa bei rahisi na mashahara unaotaka wew, usajili ni gamble ukijichanganya na FFP mchezaji aflop na mshahara mkubwa utalia kumuuza

Jambo la kufurahia ni kwamba wakati tunajenga timu angalau DNA ya kushinda vikombe haijapotea kabisa

Hakuna shabiki anayejielewa alitegemea timu ipate matokeo Allianz tena 80% ya wachezaji ndio kwanza wanausikia wimbo wa champions league wakiwa uwanjani
Hivyo tutegemee matokeo ya ups and downs
 
Leo ngoja niwambie ukweli mchungu.

Kila alie shabiki na mpenzi wa Chelsea FC asome hili andiko. Klabu yetu ya Chelsea ni ya kawaida sana wala msijidanganye kuwa tuna ukali wowote ule. Ata ile FIFA Club World Cup tulibahatisha tu.

Klabu yetu haina uwezo wa kupamba na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu. Kwa sasa level zenu ni Conference League huko, bado hatujawa na uwezo wa kuleta upinzani kwenye UEFA na UEFA Europa League. Huo ndio ukweli ukubali ama ukatae huo ndio uhalisia.

Huwezi kwenda kwenye mashindano makubwa kama UEFA wakati huo huo una lundo la wachezaji ambao ni matakataka tu. Wenzako wana silaha kweli kweli mfano, Harry Kane, Mohammed Sarah, Lamine Yamal, Mbappe Haaland na wengine wengi kuwaandikia wote sito weza. Wakati huo sisi tuna matakataka akina Enzo Maresca, Sanchez, Enzo Fernandez, Liam Delap, Jamie Gittens, Romeo Lavia, Facundo Buonanotte, Malo Gusto, Jorrel Hato na matakataka mengine.

Huwa nashangaa sana unakuta mtu hapa jukuani ana kaza mshipa kabisa eti kwa hilo lundo la matakataka kuna mahala watatufikisha, kwa kweli inasikitisha sana. Inapaswa tuelewe na tukubali wanao tuhalibia timu ni hawa wapuuzi walio uziwa hii timu. Hizi sajili za hovyo hovyo alafu wakati huo tukitaka matokeo chanja ni sawa na kuokota embe chini ya mnazi.

Klabu nyingine zinafanya sajili za maana eti sisi tunaenda kusajili watu kama Liam Delap, Jamie Gittens alafu unategemea upate matokeo chanya tunaacha wachezaji wazuri wa kutupa hiyo chanya tunakimbilia matakataka ambao ata hawajulikani walikuwa wanafanya nini hapo kabla.

Hapa hamna timu ya kuleta upinzani kwenye UEFA na EPL, level zetu saizi ni kina Sunderland, West Ham, Wolves, Leeds na wengine kama hao. Huwezi fika level za ukubwa wakati huohuo una lundo la matakataka.

Huo ndio ukweli mchungu, ukubali ama ukatae ila tambua huo ndio uhalisia wenyewe. Mtu anae fahamu na mpenzi wa mpira hawezi pingana na huu ukweli. Tizama kuanzia kikosi tulicho nacho na uchezaji tunao cheza kisha tathmini tunaweza kuwa bora mbele ya hao miamba. Sisi bado sana.
🤣🤣🤣 umeandika ukweli mtupu ila ulichokosea ni ni kimoja tu, kuiweka Arsenyau kwenye hii kauli yako:

"Klabu yetu haina uwezo wa kupambana na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu."
 
Nafikiri hii nguvu ungeenda kuwakumbusha wenzako hili kombe halijawahi kufika Emirates
Mwaka jana nusu fainali....mwaka huu breki ni fainali....kuchukua hapo sijajua....ila nyny mkijitahidi sana nafasi ya 22....sijui mtacheza play offs au vp ila hyo ndo nafasi yenu stahiki na mtaishika tu
 
🤣🤣🤣 umeandika ukweli mtupu ila ulichokosea ni ni kimoja tu, kuiweka Arsenyau kwenye hii kauli yako:

"Klabu yetu haina uwezo wa kupambana na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu."
Arsenyau ni level nyingine shehe🤠🤠....kina Madrid na wenzake hawataki kabisa kukutana na sisi....mwaka huu Kuna mkubwa mwingine tutamfumua robo fainali hamtakaa muamini
 
🤣🤣🤣 Hatukatai Arsenyau kua mpo level nyingine, nilichompinga Papaa Gx ni kule kusema kwake kua timu yao itaishia kushiriki tu, lakini haina uwezo wa kupambana na timu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan na Man City, akasahau kua Arsenyo ndio mabingwa wa kushiriki michuano yote pasi na kubeba kombe lolote.
 
Ili uchukue kombe inabidi ushiriki kwanza....sasahivi Man U Hana nafasi ya kuchukua UEFA ila majirani zangu Nyukesto anao kwa sababu anashiriki...tuunge mkono jirani mwaka huu tunabeba ile ndo😀😀
 
wale wapinga nyeto ujue wamekufua
umeandika ukweli mtupu ila ulichokosea ni ni kimoja tu, kuiweka Arsenyau kwenye hii kauli yako:

"Klabu yetu haina uwezo wa kupambana na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu."
 
Nawakumbusha tu majirani mpo nafasi ya 32 mpk sasa kwny msimamo....mdogomdogo mtafika tu msijali
Mechi saba bado, tumeanza na mifupa tutamalizia na minofu
Ninyi mmeanza na minofu
  1. Wed Sep 17: Bayern Munich (a) 3-1
  2. Tue Sep 30: Benfica (h) 3-0
  3. Wed Oct 22: Ajax (h) 4-0
  4. Wed Nov 5: Qarabag (a) 0-4
  5. Tue Nov 25: Barcelona (h) 2-2
  6. Tue Dec 9: Atalanta (a) =2-3
  7. Wed Jan 21: Pafos (h) 5-0
  8. Wed Jan 28: Napoli (a) = 1-2
Jumla ya points 20 ambayo itatosha kabis akumaliza ndani ya nane bora
 
🤣🤣🤣 Hatukatai Arsenyau kua mpo level nyingine, nilichompinga Papaa Gx ni kule kusema kwake kua timu yao itaishia kushiriki tu, lakini haina uwezo wa kupambana na timu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan na Man City, akasahau kua Arsenyo ndio mabingwa wa kushiriki michuano yote pasi na kubeba kombe lolote.
Chelsea usiiachie ifike Nusu Fainali
 
Ni Reece James pekee yake ndie aliyekuwa mzoefu kwenye UEFA Champions League jana, wengine wote ndio wameshiriki kwa mara ya kwanza. So matumaini ya kufanya vizuri ni makubwa sana mbele
 
Screenshot_20250918-173735.jpg
 
Mechi saba bado, tumeanza na mifupa tutamalizia na minofu
Ninyi mmeanza na minofu
  1. Wed Sep 17: Bayern Munich (a) 3-1
  2. Tue Sep 30: Benfica (h) 3-0
  3. Wed Oct 22: Ajax (h) 4-0
  4. Wed Nov 5: Qarabag (a) 0-4
  5. Tue Nov 25: Barcelona (h) 2-2
  6. Tue Dec 9: Atalanta (a) =2-3
  7. Wed Jan 21: Pafos (h) 5-0
  8. Wed Jan 28: Napoli (a) = 1-2
Jumla ya points 20 ambayo itatosha kabis akumaliza ndani ya nane bora
As long as Chalobah na Tosin wanazima pale nyuma hakyanani...mkijitahidi mtacheza play offs....8 Bora hamuwezi kushika....namba zinakataa
 
Mechi saba bado, tumeanza na mifupa tutamalizia na minofu
Ninyi mmeanza na minofu
  1. Wed Sep 17: Bayern Munich (a) 3-1
  2. Tue Sep 30: Benfica (h) 3-0
  3. Wed Oct 22: Ajax (h) 4-0
  4. Wed Nov 5: Qarabag (a) 0-4
  5. Tue Nov 25: Barcelona (h) 2-2
  6. Tue Dec 9: Atalanta (a) =2-3
  7. Wed Jan 21: Pafos (h) 5-0
  8. Wed Jan 28: Napoli (a) = 1-2
Jumla ya points 20 ambayo itatosha kabis akumaliza ndani ya nane bora
Atalanta...Barcelona..Napoli sioni point zinapatikana wapi....jitahidini majirani
 
Leo ngoja niwambie ukweli mchungu.

Kila alie shabiki na mpenzi wa Chelsea FC asome hili andiko. Klabu yetu ya Chelsea ni ya kawaida sana wala msijidanganye kuwa tuna ukali wowote ule. Ata ile FIFA Club World Cup tulibahatisha tu.

Klabu yetu haina uwezo wa kupamba na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu. Kwa sasa level zenu ni Conference League huko, bado hatujawa na uwezo wa kuleta upinzani kwenye UEFA na UEFA Europa League. Huo ndio ukweli ukubali ama ukatae huo ndio uhalisia.

Huwezi kwenda kwenye mashindano makubwa kama UEFA wakati huo huo una lundo la wachezaji ambao ni matakataka tu. Wenzako wana silaha kweli kweli mfano, Harry Kane, Mohammed Sarah, Lamine Yamal, Mbappe Haaland na wengine wengi kuwaandikia wote sito weza. Wakati huo sisi tuna matakataka akina Enzo Maresca, Sanchez, Enzo Fernandez, Liam Delap, Jamie Gittens, Romeo Lavia, Facundo Buonanotte, Malo Gusto, Jorrel Hato na matakataka mengine.

Huwa nashangaa sana unakuta mtu hapa jukuani ana kaza mshipa kabisa eti kwa hilo lundo la matakataka kuna mahala watatufikisha, kwa kweli inasikitisha sana. Inapaswa tuelewe na tukubali wanao tuhalibia timu ni hawa wapuuzi walio uziwa hii timu. Hizi sajili za hovyo hovyo alafu wakati huo tukitaka matokeo chanja ni sawa na kuokota embe chini ya mnazi.

Klabu nyingine zinafanya sajili za maana eti sisi tunaenda kusajili watu kama Liam Delap, Jamie Gittens alafu unategemea upate matokeo chanya tunaacha wachezaji wazuri wa kutupa hiyo chanya tunakimbilia matakataka ambao ata hawajulikani walikuwa wanafanya nini hapo kabla.

Hapa hamna timu ya kuleta upinzani kwenye UEFA na EPL, level zetu saizi ni kina Sunderland, West Ham, Wolves, Leeds na wengine kama hao. Huwezi fika level za ukubwa wakati huohuo una lundo la matakataka.

Huo ndio ukweli mchungu, ukubali ama ukatae ila tambua huo ndio uhalisia wenyewe. Mtu anae fahamu na mpenzi wa mpira hawezi pingana na huu ukweli. Tizama kuanzia kikosi tulicho nacho na uchezaji tunao cheza kisha tathmini tunaweza kuwa bora mbele ya hao miamba. Sisi bado sana.
We jamaa ni wazi opinions zako zimejaa hisia kuliko uhalisia, hayo majina unayoyaweka kwenye equation hapo ni as if wote wanacheza timu moja kwamba wenzetu wana salah yamal haaland ni kama wanatokea timu moja wakati kwenye hiyo equation jina la palmer linaingia bila ubishi ila hujaliona hilo

Kwanini asingebahatisha psg sasa lile kombe tumebahatisha sisi, wewe hata muda huu ungekuwa unashabikia psg au barcelona unaonekana ungeongea tu, kiufupi hauna jema mzee yani hakuna jambo jema kuhusu chelsea unalolijua zaidi ya takataka

Ni kweli timu haipo on top, ila pia sio mediocre hii timu mzee hii ni timu ambayo inaingia top four bila doubt na inaenda knockout stage pia CL, na najua hata ikifanya hivyo bado hutakosa la kusema yani kimsingi umeshapanga tabu na hii board kocha na wachezaji wote labda kasoro wawili watatu

Hii timu mtu kama Palmer James Cucurella Caicedo Joao Pedro Neto wana hadhi ya kucheza timu nyingi sana kubwa ila umekomaa kutaja kina hato na delap, hakuna timu ambayo utataja starting eleven yote ikawa nzuri kama kila shabiki anavyotaka ila kama mnakuwa na wachezaji zaidi ya saba mnaoweza kukubaliana kundi kubwa la mashabiki ni wazi hapo timu ipo ila mzee umekomaa na matakataka yani kiufupi umepanga tabu

Ila ukienda kwenye uzi nyengine huko naona unapredict chelsea kuwa bingwa sasa nashindwa kuelewa unaongea tu ilimradi au unaongea football mzee
 
Leo ngoja niwambie ukweli mchungu.

Kila alie shabiki na mpenzi wa Chelsea FC asome hili andiko. Klabu yetu ya Chelsea ni ya kawaida sana wala msijidanganye kuwa tuna ukali wowote ule. Ata ile FIFA Club World Cup tulibahatisha tu.

Klabu yetu haina uwezo wa kupamba na klabu kama Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona, PSG, Inter Milan, Man City, Napoli na nyingine kwenye mashindano yoyote yale, tutaishia kushiriki tu. Kwa sasa level zenu ni Conference League huko, bado hatujawa na uwezo wa kuleta upinzani kwenye UEFA na UEFA Europa League. Huo ndio ukweli ukubali ama ukatae huo ndio uhalisia.

Huwezi kwenda kwenye mashindano makubwa kama UEFA wakati huo huo una lundo la wachezaji ambao ni matakataka tu. Wenzako wana silaha kweli kweli mfano, Harry Kane, Mohammed Sarah, Lamine Yamal, Mbappe Haaland na wengine wengi kuwaandikia wote sito weza. Wakati huo sisi tuna matakataka akina Enzo Maresca, Sanchez, Enzo Fernandez, Liam Delap, Jamie Gittens, Romeo Lavia, Facundo Buonanotte, Malo Gusto, Jorrel Hato na matakataka mengine.

Huwa nashangaa sana unakuta mtu hapa jukuani ana kaza mshipa kabisa eti kwa hilo lundo la matakataka kuna mahala watatufikisha, kwa kweli inasikitisha sana. Inapaswa tuelewe na tukubali wanao tuhalibia timu ni hawa wapuuzi walio uziwa hii timu. Hizi sajili za hovyo hovyo alafu wakati huo tukitaka matokeo chanja ni sawa na kuokota embe chini ya mnazi.

Klabu nyingine zinafanya sajili za maana eti sisi tunaenda kusajili watu kama Liam Delap, Jamie Gittens alafu unategemea upate matokeo chanya tunaacha wachezaji wazuri wa kutupa hiyo chanya tunakimbilia matakataka ambao ata hawajulikani walikuwa wanafanya nini hapo kabla.

Hapa hamna timu ya kuleta upinzani kwenye UEFA na EPL, level zetu saizi ni kina Sunderland, West Ham, Wolves, Leeds na wengine kama hao. Huwezi fika level za ukubwa wakati huohuo una lundo la matakataka.

Huo ndio ukweli mchungu, ukubali ama ukatae ila tambua huo ndio uhalisia wenyewe. Mtu anae fahamu na mpenzi wa mpira hawezi pingana na huu ukweli. Tizama kuanzia kikosi tulicho nacho na uchezaji tunao cheza kisha tathmini tunaweza kuwa bora mbele ya hao miamba. Sisi bado sana.

Wewe kila wakati ni negative. Hata tukiwasajili Kane, Salah, Mbappé, Yamal, Haaland—na timu ipoteze tu mechi moja—utawaita wote “matakataka.” Huo si uchambuzi, ni upofu wa makusudi.

Wachezaji uliowataja si muhimu kwa Chelsea, lakini kwenye upinzani umechagua nyota mmoja mmoja ili kuhalalisha upofu wako. Kama kweli una nia njema na Chelsea, ungewataja pia wachezaji muhimu wa Chelsea—wale wanaobeba timu, wanaopambana, wanaoleta matokeo.

Tired of your negativity. Ni heri Chelsea haikutegemei wewe ili ifanye vizuri. Timu inahitaji moyo wa kuamini, si mdomo wa kupayuka bure. Kama huwezi kusimama na timu wakati wa giza, usijidai kuwa shabiki wakati wa mwangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom