lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Julio amesajiliwa na Strasbourg sio ChelseaWamewasajili wachezaji wawili alafu cha ajabu wote viungo washambuliaji ndipo nawashangaa sports director wetu huwa wanawazaga nini
Facundo Buonanotte ndie kasajiliwa Chelsea backup ya Palmer
Kumbukeni pia kuna vipingamizi vya UEFA msiwe mnaheuka jazba tu bila kujua wamilkiki na SD wamekwama wapi