Umeona kazi alio fanya kijana mkuuu dgo cha boli kweliTumemsifia sana estavao, akaamua kututia boko 😂
Umeona kazi alio fanya kijana mkuuu dgo cha boli kweliTumemsifia sana estavao, akaamua kututia boko 😂
Wewe ni takataka haswa🤣🤣🤣🤣Wewe ndio unasababisha AseNYETO watuite KENGE.
Nini unasema, ebu rudia tena?Hamna kocha hapa
Vaxi ndio naniVaxi kwani anacheza namba ngapi mana nacheki leipzig hapa kanyukwa 6 simuoni xavi hadi mpira umeisha ndi anaoneshwa akibadilishana jezi
Ndg yangu hivi kuna siku wewe unafurahia ushindi na kusahau negative za mchezaji mmoja mmoja?/ KweliMtu kama Fofana sio wa kucheza Chelsea inapaswa acheze Burnely huko
Esxtevao Willian ametangazwa MOTM
Ameanza kwa mara ya kwanza na akapewa Man of The Match
Hongera sana
View attachment 3449720
Ndg yangu hivi kuna siku wewe unafurahia ushindi na kusahau negative za mchezaji mmoja mmoja?/ Kweli
Nakushauri kwa afya yako furahi zaidi ya unavyokosoa.
Kosoa kidogo (10%) halafu furahia na positive (90%) na afya yako itaimarika na miak ya kuishi itaongezwa
Chelsea imefungwa Wesley Akiwa nje, ametupigishaje tena hapo?Ndugu yangu hii michezaji ya hovyo ndio inatupigisha mikeka kila msimu inapaswa kuifyekelea mbali. We mwenyewe umeona huyo dogo alivyo pewa nafasi alicho kifanya, ni takataka tupu.
Umesoma hizo stats hapo kwenye picha?Hii kapewa tu ilipaswa apewe Joao Pedro, kigeni dogo Estevao inapaswa abadili aina yake ya uchezaji bila hivyo ataingia kwenye kundi la matakataka. Naona bado anadhani hiyo ni ligi ya huko kwao Brazil.
Anacheza no 10 na wingaVaxi kwani anacheza namba ngapi mana nacheki leipzig hapa kanyukwa 6 simuoni xavi hadi mpira umeisha ndi anaoneshwa akibadilishana jezi
But for me ningempa Joao Pedro goal 1 assist 2Esxtevao Willian ametangazwa MOTM
Ameanza kwa mara ya kwanza na akapewa Man of The Match
Hongera sana
View attachment 3449720
Sasa mkuu huoni si Bado anakua..atakuja kuwa sawa ndo ukuaji huo ndogondogo ndo maana halisi ya potential..ila huyu mzee wa takataka kazi ipo😂😂Hii kapewa tu ilipaswa apewe Joao Pedro, kigeni dogo Estevao inapaswa abadili aina yake ya uchezaji bila hivyo ataingia kwenye kundi la matakataka. Naona bado anadhani hiyo ni ligi ya huko kwao Brazil.
Hahahahaha, sijui muda gani anakuwa na furaha, maana mda wote yupo hasi tuSasa mkuu huoni si Bado anakua..atakuja kuwa sawa ndo ukuaji huo ndogondogo ndo maana halisi ya potential..ila huyu mzee wa takataka kazi ipo😂😂