MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 655
- 823
Epl ni nyingine aisee
Ndg ebu jaribu kupambana kwanza na hali yako. Unatokaje kwenda kwa jirani kuzopmea wakati kwako kunateketea? au mmezoez vipigo hadi chumbani kwenu?Ndondo zimeisha karibuni Epl sasa acheni na matakataka mliyokuwa mnacheza nayo.
Gittens ameonyesha Uchnga na ugeni kwa EPL. Baada ya muda atakuwa mchezaji mzuri, ndio maana Chelsea wanamsajili Garnacho ili asibebe mzigo mwenyeweGittens hamna kitu, afadhali aliyoingia Estêvão game likaanza kuchangamka.
Palace wamecheza kibingwa sana, wangekuwa wanaingia sana kwenye goli pinzani wangeondoka na point tatu leo mapema sana.
Takata zako ebu weka kwenye ndoo kwanza muda bado. Kumbuka hawa Palace ndio waliwafunga City, Liverpool. Mimi sipimi mechi ya leo kwamba eti wachezaji ni takatakaMimi si huwa nawambia hapa? Nikiwambia mchezaji fulani ni takataka muwe mnaelewa, nafuatilia sana michezo na wachezaji.
Narudia tena, hawa wachezaji ni matakataka.
Nicolas Jackson
Christopher Nkunku
Liam Delap
Jamie Gittens
Romeo Lavia
Wesley Fofana
Jorrel Hato
Benoit Badiashile
Axel Disasi
Robert Sanchez
We kila mchezaji unatetea. kwa hiyo tusibiri azoee siyo?Ndio lakini huwezi kumuhukumu Bado hajaizoea ligi hivi unakumbuka Thiago Silva alivyoanza game yake ya Kwanza Chelsea ilikuaje au Caicedo
Sio kwamba kila mchezaji namtetea mbona Madueke nilimkataa kwasababu muda alipewa na akawa anafanya madudu, Kuna wachezaji wanatakiwa wapewe muda ndio uwezo wao utaonekana kwani Mohamed Salah si alichezea ChelseaWe kila mchezaji unatetea. kwa hiyo tusibiri azoee siyo?
Alikuwa ni inverted midfielderJe, Marc Cucurella ni beki wa kushoto au kiungo wa kati wa box-to-box? nauliza hivi kwa sababu leo alikuwa kila mahali, akipress kama mwendawazimu kwenye uwanja. Ikiwa tumepata cleasheet ni kwa sababu ya Cucurella
View attachment 3444618
Kama wamepata point 3 sisi tufanyaje kwani ndio mwisho wa ligiWenzenu wameanza na point tatu nyie mmeanza na lawama
🤣🤣🤣Chelsea fans are the worst fans in football
Umemjibu vizuri, kaja na pombe zake anacoment kama vile Chelsea imetolewa kwenye ligi. Hii sio mtoano ni ligi ndefu ya mechi 38Kama wamepata point 3 sisi tufanyaje kwani ndio mwisho wa ligi
Wazee vip wazee ligi inaanza lini tuwanze kuwala watu vichwaa, unajuwa sisi Chelsea bwana ni noma sanaa
Sio kwamba kila mchezaji namtetea mbona Madueke nilimkataa kwasababu muda alipewa na akawa anafanya madudu, Kuna wachezaji wanatakiwa wapewe muda ndio uwezo wao utaonekana kwani Mohamed Salah si alichezea Chelsea
False LbJe, Marc Cucurella ni beki wa kushoto au kiungo wa kati wa box-to-box? nauliza hivi kwa sababu leo alikuwa kila mahali, akipress kama mwendawazimu kwenye uwanja. Ikiwa tumepata cleasheet ni kwa sababu ya Cucurella
View attachment 3444618