Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo ni Westham Vs Chelsea 10:00Usiku , ni ushindi tu, hatutaki visingizio. Sijui walipaki basi, sijui waliziba mianya.
Ubashiri wa lineup

Chelsea vs Crystal Palace

Line up 4-2-3-1

-----Joao Pedro--

Neto --Palmer -- Estevao

--Santos -----Caicedo--

Cucurella ---Tosin---Chalobah ---James

--Sanchez---

Subs
1. Jorgensen
2. Wesley Fofana
3. Hato
4. Gusto
5. Enzo
6. Essugo
7. Gittens
8 George
9. Delap
1755848711947.jpeg
 
🚨🔵 Taarifa ya kipekee: Chelsea wanapanga kumpa #Xavi Simons mkataba hadi mwaka 2031. Masharti binafsi yamekubalika kwa mazungumzo, na maandishi rasmi yanatarajiwa kukamilika wiki ijayo.

Mazungumzo rasmi kati ya Leipzig na Chelsea yanapangwa kufanyika baada ya mechi dhidi ya Bayern leo. Ili kufanikisha dili hilo, Chelsea italazimika kuwauza Christopher Nkunku na Nicolas Jackson.
@Plettigoal

1755866884257.png
 
View attachment 3448985
Huu ndio usajili tunaousubiria
 
Huu ndio usajili tunaousubiria
Taarifa zingine zinadai kuwa Aston Vila wako tayari kumsajili Nicolas Jackson na kizingiti pekee ni PSR. Sasa ninaamini kuwa Aston Villa ili wamchukue Jackson watamtoa kafara Morgan Rodgers na kwa maoni yanmgu mimi Rogers ni boira kuliko Xavi Simons na wanacheza karibui nafasi zile zile na uchezaji wao umefanana japo Simons ni agressive na mchoyo kwa kiasi fulani ila Rodger ni soft anatumia akili zaidi na ni mzuri kwenye kuwachezesha wenzake.
Chelsea wakikubali deal la kumchukua Morgan Rodgers, automatically dili la Xavi litakuwa halina uzito tena na wakimchukua ni out of pleasure tu
1755877073632.png
 
View attachment 3449089
Mambo juu ya mambo
 
Hii itakuwa ni mbaya sana kwa Xavi na itakuwa hatujamtendea haki kumbuka kakataa karibia kila deal ili tu ajiunge na Chelsea alafu itokee Jambo Kama hilo kweli
 
Taarifa zingine zinadai kuwa Aston Vila wako tayari kumsajili Nicolas Jackson na kizingiti pekee ni PSR. Sasa ninaamini kuwa Aston Villa ili wamchukue Jackson watamtoa kafara Morgan Rodgers na kwa maoni yanmgu mimi Rogers ni boira kuliko Xavi Simons na wanacheza karibui nafasi zile zile na uchezaji wao umefanana japo Simons ni agressive na mchoyo kwa kiasi fulani ila Rodger ni soft anatumia akili zaidi na ni mzuri kwenye kuwachezesha wenzake.
Chelsea wakikubali deal la kumchukua Morgan Rodgers, automatically dili la Xavi litakuwa halina uzito tena na wakimchukua ni out of pleasure tu
View attachment 3449089
Kwenye uchoyo hako kaxavi ni kachoyo, sijui labda kabadilike.
 
N.B mechi ya Leo Caicedo kapewa ucamptain badala ya Enzo kwa sababu maalumu ni kwamba mechi hii inamfanya afikishe mechi 100 tangu ajiunge na Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom