Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je mnamjua huyo wa kulia?
1755703724525.png
 
Wesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi

Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.

View attachment 3447046
Alafu mbona inaeleweka sababu ya yeye kutopewa nafasi michezaji mijinga Kama hii haifai kuwa kwenye team huyu ndio alichangia kukoleza moto kwenye sakata lile la Enzo Fernandez.Nimeona baada ya kufuta picha Mashabiki wamemtukana alivyoona maji yamezidi UNGA akajikosha kwa kupost kupitia insta story
 
Dastan Satpayev ni mchezaji mdogo wa Kazakhstani ambaye amesajiliwa na Chelsea. ana miaka 17 na Mwakani atakuja Chelsea kama alivyo fanya Estevao na Kendry PAez
Atakuja pamoaj na Giovani Quenda
Yeye ni striker mahiri na ameishaifungia timu yake ya Kairat iliyoko kwenye Kazakhstan Premier League hadi sasa mwaka huu kashafunga goli 9 moja likiwa la UEFA qualification
 
Villarreal wamekubali dili la kumsajili Renato Veiga kwa uhamisho wa kudumu kutoka Chelsea, HERE WE GO!

Makubaliano na mchezaji na pia Chelsea juu ya nyongeza ya kifurushi cha €29.5m yamejumuishwa na kifungu kizito cha kuuza (sell on clause).

Hii inaipatia Chelsea faida ya pesa taslimu c.€15.5 milioni na faida ya vitabu karibu c.€18.2 milioni.

Hii haijumuishi ada ya mkopo ya Euro milioni 3.8 iliyolipwa na Juventus.

Hongera the Blues
Sasa Christopher Nkunkiu na Nicolas Jackson wafuatie ila ningependa Jackson akose timu ili abaki

1755708073717.png
 
View attachment 3447334
Chelsea mbovu wachezaji wanaikimbia
 
Wesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi

Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.

View attachment 3447046
Hamna ishu yoyote ametengeneza attention tu..kapost picha IG stories anajiandaa na mechi ya ijumaa
 
Chelsea mbovu wachezaji wanaikimbia
Taja waliokimbia
Nisaidie pia kuwataja hao wanaong'ang'ania kuja kwenye jamii ya mabingwa wa dunia
Nikusaidie tu

Wachezaji Walioonyesha Uaminifu kwa Chelsea

1. Pedro Neto 🇵🇹
2. Jadon Sancho 🇬🇧
3. Aaron Anselmino 🇦🇷
4. Marc Guiu 🇪🇸
5. Geovany Quenda 🇵🇹 (Sporting Lisbon)
6. Dario Essugo 🇵🇹

Hawa bado wanang'ang'ania kuja Chelsea na wamekataa kuonge na timu zingine zikmiwemo Man City, Mna United, Liverpool, Arsenal. Newcastle nk

Malick Fofana 🇧🇪 (Lyon)
7. Alejandro Garnacho 🇦🇷 (Manchester United)
8 Xavi Simons 🇳🇱 (RB Leipzig)
9. Jorrel Hato 🇳🇱 (Ajax
 
Chelsea timu bovu wachezaji wanalikimbia
 
Villarreal wamekubali dili la kumsajili Renato Veiga kwa uhamisho wa kudumu kutoka Chelsea, HERE WE GO!

Makubaliano na mchezaji na pia Chelsea juu ya nyongeza ya kifurushi cha €29.5m yamejumuishwa na kifungu kizito cha kuuza (sell on clause).

Hii inaipatia Chelsea faida ya pesa taslimu c.€15.5 milioni na faida ya vitabu karibu c.€18.2 milioni.

Hii haijumuishi ada ya mkopo ya Euro milioni 3.8 iliyolipwa na Juventus.

Hongera the Blues
Sasa Christopher Nkunkiu na Nicolas Jackson wafuatie ila ningependa Jackson akose timu ili abaki

View attachment 3447334
Asipouzwa Jackson uoni itatugharimu kwenye kuregister wachezaji wapya UEFA champions league alafu nimesikia kwamba Joao Felix hatajumuishwa kwenye vitabu vya uhasibu
 
Yeah, UEFA wamekuja na double standards yao, eti wachezaji watakaohesabiwa kwenye mapato ni wale walioshiriki knockout stage ya Conference league. Sasa mbona kwenye ile faini ya mil 31 walihesabu wachezaji wote walionunuliwa? ila kwenye mauzo wanabagua. Nicolas Jackson inabidi sasa auzwe tu kwa udi na uvumba, apende asipende
 
Villarreal wamekubali dili la kumsajili Renato Veiga kwa uhamisho wa kudumu kutoka Chelsea, HERE WE GO!

Makubaliano na mchezaji na pia Chelsea juu ya nyongeza ya kifurushi cha €29.5m yamejumuishwa na kifungu kizito cha kuuza (sell on clause).

Hii inaipatia Chelsea faida ya pesa taslimu c.€15.5 milioni na faida ya vitabu karibu c.€18.2 milioni.

Hii haijumuishi ada ya mkopo ya Euro milioni 3.8 iliyolipwa na Juventus.

Hongera the Blues
Sasa Christopher Nkunkiu na Nicolas Jackson wafuatie ila ningependa Jackson akose timu ili abaki

View attachment 3447334
Mauzo ya Renato Veiga ni dili zuri sana, faida ya mil karibia 15 na bado sell on clause ya 40%
 
BlueCo wamefikia makubaliano na Brighton & Hove Albion kumsaini Julio Enciso.

Atapelekwa Strasbourg kama mchezaji wake halafu atanunuliwa na Chelsea msimu mmoja atakuja Chelsea mkataba hadi 2031
1755734258910.png
 
Leo ni Westham Vs Chelsea 10:00Usiku , ni ushindi tu, hatutaki visingizio. Sijui walipaki basi, sijui waliziba mianya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom