Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

La
Muwe na utu na nafsi. Romeo Lavia na Wesley Fofana hawakuchagua kuwa majeruhi—majeraha yanavuruga taaluma, ndoto, na maisha.

Ni mnyama tu anayemshambulia mtu aliyepatwa na ajali. Hebu jiulize: je, umewahi kumshambulia ndugu yako anayebebwa tu nyumbani kwenu kwa sababu ya ajali?

Tuwaheshimu binadamu. Tuwaachie waliolazwa mikononi mwa madaktari, sisi tujikite kwa walioko wazima. Hakuna mchezaji anayejifanya majeruhi au tapeli.

Hii tabia ya kushambulia majeruhi ikome kabisa. Ushabiki wenye sumu kama huu ni wa kupiga vita. Tuwe mashabiki wa kweli—wenye huruma, heshima, na akili. ⚽💙
Lavia tapeli
 
Hivi ni kwanini Jackson akianza uwa tunapata nafasi nyingi ila tunashindwa kuzitumia vizuri hasipokuwepo uwanjani tunafika goli la mpinzani kwa mbinde
Mmmh mkuu kama juzi hyo crystal waliziba mianya ya pasi kwa kina palmer, na Enzo na kusababisha mechi kuwa ngumu mpk kina chalobah walishindwa kupiga direct passes wanaishia kupiga sideways passes inamaana Jackson angekuwepo mambo yangekuwa tofauti?😂
 
Muwe na utu na nafsi. Romeo Lavia na Wesley Fofana hawakuchagua kuwa majeruhi—majeraha yanavuruga taaluma, ndoto, na maisha.

Ni mnyama tu anayemshambulia mtu aliyepatwa na ajali. Hebu jiulize: je, umewahi kumshambulia ndugu yako anayebebwa tu nyumbani kwenu kwa sababu ya ajali?

Tuwaheshimu binadamu. Tuwaachie waliolazwa mikononi mwa madaktari, sisi tujikite kwa walioko wazima. Hakuna mchezaji anayejifanya majeruhi au tapeli.

Hii tabia ya kushambulia majeruhi ikome kabisa. Ushabiki wenye sumu kama huu ni wa kupiga vita. Tuwe mashabiki wa kweli—wenye huruma, heshima, na akili. ⚽💙
Ukweli utabaki kuwa lavia hamna kitu pale, hata James anapatwa Na majeraha Ila ubora wake unaonekana.

Mnaomtetea lavia Nyie mmekazana Na majeraha tuu, ila hata hizo mechi alizocheza em tuambieni amefanya nn cha maana
 
Kocha anayemfundisha mwenyewe alisema Midfiled inakuwa balanced Romeo Lavia anapokuwa uwanjani, who are you from where are you speaking that.
Wesley Fofana kwenye RCB one of the best in the League na Maresca mwenyewe anatambua hilo. Akiwa mzima hakuna wa kumuweka Benchi pale kama yupo mtaje, sio Tosin wala Chalobah. Kwa kulia pale tuna Fofana na kwa kushoto yupo Levi Colwill hao ndio top CB wa Chelsea na hawakai benchi wakiwa wazima. Sijui huwa Chelsea mnaifuatilia wapi wazee, kwenye runinga, stori za vijiweni, Jamii forums au kwenye live score?
 
Mm namzungumzia lavia, Ww unaniletea story za fofana 😂

Haya mkuu umeshinda 🙌
 
Ukweli kabisa akiwepo lavia panabalance vizuri sana ukijumlisha pia na Uwezo wake wa kuwa press resistant hata yule szobo wa liverkuku alisema midfielder mgumu zaidi aliyekutana naye epl ni Romeo lavia shida yake yeye ni injury prone .....fofana km sikosei akiwa Leicester aliwahi chukua best young player of the season just imagine beki anachukua hyo tuzo kabla ya kupata ile injury aliyopata pre season ya kuvunjika na kusababbisha kuukosa Msimu wote ....alafu mtu anakuja anasema Romeo lavia hamna kitu nashangaa au wao wamezoea mpk mtu atoe assist au afunge....😂 Kazi kwelikweli
 
Mmmh mkuu kama juzi hyo crystal waliziba mianya ya pasi kwa kina palmer, na Enzo na kusababisha mechi kuwa ngumu mpk kina chalobah walishindwa kupiga direct passes wanaishia kupiga sideways passes inamaana Jackson angekuwepo mambo yangekuwa tofauti?😂
Pamoja na crystal kuzuia mianya lakini pia tukubali Enzo na Palmer hawakuwa Kwenye ubora wao na hili lazima tuliseme
 
Mm namzungumzia lavia, Ww unaniletea story za fofana 😂

Haya mkuu umeshinda 🙌
Lavia ndio anaifanya team iwe balanced na iwe solid anarahisisha kazi ya Caicedo tofauti na Caicedo akicheza na Enzo, Caicedo anakuwa na kazi kubwa ya kukaba. Lavia analeta utulivu na confidence ya mabeki kuimarika kwasababu uwezo wake wa kuchukua mpira kwenye maeneo finyu kutoka kwa mabeki, upigaji sahihi wa pasi na kukaba vizuri. Lavia ndio mchezaji ambaye ni good resistance kiufupi ni ngumu kwa mpinzani kumkaba
 
Pamoja na crystal kuzuia mianya lakini pia tukubali Enzo na Palmer hawakuwa Kwenye ubora wao na hili lazima tuliseme
Uko sawa ila tatizo la msingi ni line breaking passes za Levi Colwill zilikosekana. Hakuna pale nyuma anayedhubutu kupiga hizo passi. Josh alijaribu mbili zikabuma akaogopa akaamua kucheza side na back passes tu na ndio hizo watu wanamsifia. Tosin anajaribu hizo pasi kidogo ila Chalobah na hao wengine hawawezi kucheza hizo pasi. Wewe tafuta tu comilation ya hizo pasi za Colwill utamheshimu
 
Ubora wa Romeo Lavia huu hapa

Uzuri wa Romeo Lavia uko kwenye mchanganyiko wa akili ya mpira, uwezo wa kimwili, na ustadi wa kiufundi ambao ni nadra sana kwa mchezaji mwenye umri wa miaka 21.

Hapa kuna maeneo muhimu yanayoonyesha uzuri wake:
  • Anaelewa mchezo kwa undani, hasa nafasi ya kiungo mkabaji. Anajua lini asukume mbele, lini ajifiche, na jinsi ya kusoma mwenendo wa wapinzani.
  • Ana uwezo mkubwa wa kuzuia mashambulizi kwa kusoma pasi kabla haijapigwa na kuingilia kati kwa ustadi.
  • Lavia ni mwenye nguvu na kasi, anaweza kuzuia mashambulizi ya haraka na kurudisha mpira kwa timu yake.
  • Ana tackle safi na sahihi, bila kufanya makosa mengi ya kumuangusha mpinzani.
  • Ana uwezo wa kupiga pasi za mbele zenye maono, akisaidia timu kuanzisha mashambulizi.
  • Ana utulivu mkubwa akiwa na mpira, hata akiwa chini ya presha.
  • Pamoja na majeruhi ya muda mrefu Lavia akirudi hachukuii muda mrefu kucheza kwa kiwango chake cha uborea wa hali ya juu
  • Ana uhusiano mzuri na wachezaji wenzake, jambo linalomsaidia kuendana na mazingira ya klabu na kuonyesha uwezo wake kwa uhuru
 
Wesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi

Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.

1755686805527.png
 
View attachment 3447046
Ni kwamba anaitaji apigwe bei kwa lazima iliali anajuwa tunatafuta mchezaji mbadala wa colwill
 
Wesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi

Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.

View attachment 3447046
Mteteee mchejazi wa machela wenzako wakiongea wanaoneka hawajui mpira ona sasa upuuzialioufanya
 
Wesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi

Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.

View attachment 3447046
Timu lenu bovu
 
Uko sawa ila tatizo la msingi ni line breaking passes za Levi Colwill zilikosekana. Hakuna pale nyuma anayedhubutu kupiga hizo passi. Josh alijaribu mbili zikabuma akaogopa akaamua kucheza side na back passes tu na ndio hizo watu wanamsifia. Tosin anajaribu hizo pasi kidogo ila Chalobah na hao wengine hawawezi kucheza hizo pasi. Wewe tafuta tu comilation ya hizo pasi za Colwill utamheshimu
Tosin na Colwil Hilo linajulikana ilikuwa ni wakati wa Palmer na Enzo kutuonesha ubora wao maana wao ndio wamebeba zamana ya kupiga pass Bali walitufelisha ila hawazungumziwi ila kazinguaga Jackson maneno huwa yanakuwa mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom