Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea leo imekutana na ukuta wa Berlin na viungo wetu na winga hawakuwa wabunifu. Ukuta huo wa Palace umesababisha mchezo kupooza sana. Mchezaji pekee aliyeonyesha kufanya mchezo kuwa hai ni Estevao Willian alipoingia badala ya Gittens dakika ya 54. Nyuma ukosefu wa Colwill umekuwa dhahiri. Chalobah na Acheampong hawajiamini kwenye kupiga pasi zile za kuvunja msatri wa viungo wa Palace na matokeo yake pasi za kupean nyuma tu hadi umeoboa sana
Acheampong amejitahidi
 
Acheampong amejitahidi
Yeah. Kwenye kuzuia kajitahidi sana ila kwenye kupenyeza pasi zile za vunja mstari alijaribu mara mbili kidogo atufungishe goli, wenzake walikuwa sharp kuzuia. Baada ya hapo akaamua kucheza kwa tahadhari sana bila kupiga mipira mbele. Ukweli ni kwamba tutahitaji CCB, Acheampong anatakiwa mechi za size yake ili akue bila presha
 
Gittens hamna kitu, afadhali aliyoingia Estêvão game likaanza kuchangamka.

Palace wamecheza kibingwa sana, wangekuwa wanaingia sana kwenye goli pinzani wangeondoka na point tatu leo mapema sana.
 
Yeah. Kwenye kuzuia kajitahidi sana ila kwenye kupenyeza pasi zile za vunja mstari alijaribu mara mbili kidogo atufungishe goli, wenzake walikuwa sharp kuzuia. Baada ya hapo akaamua kucheza kwa tahadhari sana bila kupiga mipira mbele. Ukweli ni kwamba tutahitaji CCB, Acheampong anatakiwa mechi za size yake ili akue bila presha
Enzo hayuko fiti kabisa na nililiona hili tangu pre season
 
Mimi si huwa nawambia hapa? Nikiwambia mchezaji fulani ni takataka muwe mnaelewa, nafuatilia sana michezo na wachezaji.

Narudia tena, hawa wachezaji ni matakataka.

Nicolas Jackson
Christopher Nkunku
Liam Delap
Jamie Gittens
Romeo Lavia
Wesley Fofana
Jorrel Hato
Benoit Badiashile
Axel Disasi
Robert Sanchez
 
Yule mwenye jezi no 08 unamuogopa au umesahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom