Gittens wako bado ni mbichi sana, Ligi ndio ameanza na anaonekana anayo safari ndefu sana. Naona Garnancho akija ataanza mechi nyingi kuliko yeye. Ngoja tuone kipindi cha pili George akiingia ataleta nini.My boy Gittens he we go
Sio takataka, bado mtoto anahitaji kuzoea ligi na kukua piaHiyo takataka, bora ata George
Chelsea leo imekutana na ukuta wa Berlin na viungo wetu na winga hawakuwa wabunifu. Ukuta huo wa Palace umesababisha mchezo kupooza sana. Mchezaji pekee aliyeonyesha kufanya mchezo kuwa hai ni Estevao Willian alipoingia badala ya Gittens dakika ya 54. Nyuma ukosefu wa Colwill umekuwa dhahiri. Chalobah na Acheampong hawajiamini kwenye kupiga pasi zile za kuvunja msatri wa viungo wa Palace na matokeo yake pasi za kupean nyuma tu hadi umeoboa sanaMnaocheki mpira tathimini zenu ni za muhimu sana, naona mpk dk.80 bado bila bila.
Bado hujanielewa??Unamaanisha Capricon Point au 😀 ⁉️😡