lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Line up imetoka kama nilivyotabiriHapo sawa nilikuwa nimemsahau huyu dogo
Nyuma ni James, Chalobah, Josh na Cucurella
Line up imetoka kama nilivyotabiriHapo sawa nilikuwa nimemsahau huyu dogo
Kwenye hizi match za pre-season nimemuona bado Enzo Fernandez hayuko fit ndio maana nimemuweka sub-------------Joao Pedro--------------
Gittens --------Palmer -------- Neto
-----Enzo ------------Caicedo------
Cucurella ---Josh---Chalobah ---James
--------------Sanchez----------------
Namuweka Neto zaidi ya Estevao japo Estevao ni mzuri kwenye kushambulia ila Neto anajituma zaidi hadi kwenye ukabaji
Subs
1. Jorgensen
2. Wesley Fofana
3. Hato
4. Gusto
5. Santos
6. Essugo
7. Willian
8 George
9. Delap
Baada ya dk 90 ningependa nisikie maoni yakoNgoja nisogee kibanda ubiza kushuhudia hii game
Natumia livescore, naona hawajamuandika hata huko sub
HJujaangalia vizuri wengine wanaandika WillianNatumia livescore, naona hawajamuandika hata huko sub
Bc livescore yangu Imekufa huku inafanya kaziNa huyo Willian ndio nani vile
View attachment 3444157
41 ni namba ya Estevao Willian, Labda wameandika kireno
Jina lake kwa urefu ni: Estêvão Willian Almeida de Oliveira Gonçalves
Huyo mchambuzi fala sana 😂Hiyo app itakuwa ni ya Jimie Carragher
Hapana wametumia jina lake la mwishoHiyo app itakuwa ni ya Jimie Carragher
Bc unyamaJina lake kwa urefu ni: Estêvão Willian Almeida de Oliveira Gonçalves
Mimi nampenda Jamie Caragher, uchambuzi wake kama hamjui hamaanishi ila anajua mashabiki wa Chelsea wengi watampa ujiko kwenye vyombo vya habariHuyo mchambuzi fala sana 😂
My boy Gittens he we go