Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?

Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.

Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.

THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.

1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Ushabiki wa team na chuki binafsi pia huchangia kwenye kutoa maoni
 
Huyu jamaa bhana ety naye n mchambuzi 😂

Screenshot_20250815-162720.png

Ila comment za humu zinachekesha
 
Ni vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?

Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.

Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.

THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.

1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Hao hawakuiweka kabisa Chelsea top 4 Msimu uliopita maneno yao hayashtui
 
Mimi jambo nashangaa ni kumuua Petrovic alafu tukabaki na takataka Sanchez.
 
Ni vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?

Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.

Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.

THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.

1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Tukisajili beki mzuri wa kucheza nafasi ya Colwill, nitaipa Chelsea angalau 60-70% ya kubeba ubingwa
 
Petrovic sio upgrade ya Sanchez
Donnarumma sio upgrade ya Sanchez
Tuendelee kumtafuta mwingine
 
Petrovic sio upgrade ya Sanchez
Donnarumma sio upgrade ya Sanchez
Tuendelee kumtafuta mwingine
Kocha mwenyewe ameshaonesha kuwa anahitaji beki haswa kupitia press yake kwake kipa Hana umuhimu ameridhika nao hawa walikuwepo tukimpa vitendea kocha ubingwa utakuwa nje nje
 
Wadau mnataka Leo kikosi kiweje
1. Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.chalobah
5.Fofana
6.Caicedo
7.Pedro Neto
8.Santos
9.Joao Pedro
10.Cole Palmer
11.Gittens
 
Wadau mnataka Leo kikosi kiweje
1. Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.chalobah
5.Fofana
6.Caicedo
7.Pedro Neto
8.Santos
9.Joao Pedro
10.Cole Palmer
11.Gittens
Fofana haiwezi kuanza leo, kwa kipindi kirefu aliyokuwa nje huyo anaweza kupewa dk 10 au 20 tu mwishoni
 
Wadau mnataka Leo kikosi kiweje
1. Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.chalobah
5.Fofana
6.Caicedo
7.Pedro Neto
8.Santos
9.Joao Pedro
10.Cole Palmer
11.Gittens

-------------Joao Pedro--------------

Gittens --------Palmer -------- Neto

-----Enzo ------------Caicedo------

Cucurella ---Josh---Chalobah ---James

--------------Sanchez----------------

Namuweka Neto zaidi ya Estevao japo Estevao ni mzuri kwenye kushambulia ila Neto anajituma zaidi hadi kwenye ukabaji

Subs
1. Jorgensen
2. Wesley Fofana
3. Hato
4. Gusto
5. Santos
6. Essugo
7. Willian
8 George
9. Delap
 
Naona lineup imetolewa kama nilivyotabiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom