Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa sikia, huyo takataka Maresca kama kweli anataka beki wa kueleweka achukue moja ya beki hawa ninao waorodhesha hapa.

Pale Inter Milan kuna mwamba anaitwa Alessandro Bastoni, huyu ndio awe chaguo la kwanza. Chaguo la pili twende pale Genoa kuna kijana anaitwa Johan Vasquez hatari sana. Na chaguo la tatu twende mpaka Ujerumani katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen kuna kijana anaitwa Piero Hincapie, huyu kwa taarifa nilizo nazo ndio tunamfukuzia.

Chelsea hawana mpango na kipa Maresca kasema anahitaji beki wa kati
 
🚨💣 Chelsea wameongeza kasi ya mazungumzo ya kumsajili Alejandro Garnacho! Mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Chelsea na Manchester United yanaendelea kwa nguvu.

Garnacho ameeleza wazi kuwa anaitaka Chelsea pekee — masharti binafsi tayari yamekubaliwa, na sasa klabu zote mbili zinajadili ada ya uhamisho.

Garnacho anatarajiwa kuvalia jezi ya #CFC msimu huu wa joto. ⏳🔵

View attachment 3438754
Dah huyu dogo simuelewagi....na yy sometimes anakosa kosa magoli km Jackson😂
 
Sasa sikia, huyo takataka Maresca kama kweli anataka beki wa kueleweka achukue moja ya beki hawa ninao waorodhesha hapa.

Pale Inter Milan kuna mwamba anaitwa Alessandro Bastoni, huyu ndio awe chaguo la kwanza. Chaguo la pili twende pale Genoa kuna kijana anaitwa Johan Vasquez hatari sana. Na chaguo la tatu twende mpaka Ujerumani katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen kuna kijana anaitwa Piero Hincapie, huyu kwa taarifa nilizo nazo ndio tunamfukuzia.
Mkuu mtaani kwenu una timu hata ya kufundisha?😁
 
Sasa sikia, huyo takataka Maresca kama kweli anataka beki wa kueleweka achukue moja ya beki hawa ninao waorodhesha hapa.

Pale Inter Milan kuna mwamba anaitwa Alessandro Bastoni, huyu ndio awe chaguo la kwanza. Chaguo la pili twende pale Genoa kuna kijana anaitwa Johan Vasquez hatari sana. Na chaguo la tatu twende mpaka Ujerumani katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen kuna kijana anaitwa Piero Hincapie, huyu kwa taarifa nilizo nazo ndio tunamfukuzia.
Kwa hapa nakuunga mkono
 
Man, huoni sajili za wanao taka kupambania ubingwa? Liverpool wame fanya usajili wa Florian Wirtz na Hugo Ekitike, Arsenal wamefanya usajili wa Gyokeres na Man City ana mtaka Rodrigo. Sisi Chelsea ni tunasajili matakataka tu kama hao kina Gittens, Liam Delap na wengineo. Alafu wakati huo huo unataka uende ukapambane nao, hebu tuweni serious basi.

Bado Garnacho nafikiri mpaka wiki ijayo atakua blue
 
Sasa sikia, huyo takataka Maresca kama kweli anataka beki wa kueleweka achukue moja ya beki hawa ninao waorodhesha hapa.

Pale Inter Milan kuna mwamba anaitwa Alessandro Bastoni, huyu ndio awe chaguo la kwanza. Chaguo la pili twende pale Genoa kuna kijana anaitwa Johan Vasquez hatari sana. Na chaguo la tatu twende mpaka Ujerumani katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen kuna kijana anaitwa Piero Hincapie, huyu kwa taarifa nilizo nazo ndio tunamfukuzia.
Katika hao watatu Bastoni na Vasquez nawatoa kwenye kinyang'anyiro kwa sababu kuu 3 hizi hapa
  1. Wana umri mkubwa kila mmoja ana miaka 26 nje ya umri unaotakiwa Chelsea ambao ni chini ya 25, hata hivyo hii sio sababu kuu
  2. Bastoni mshahara wake unakaribia laki 2 za Euros nje ya muundo wa mishahara Chelsea ila pia hii sio sababu kuu. Vasquez analipwa kwenye elfu 30 za euro sio ghali
  3. Pia Piero Hincapié ni mzuri sana kwenye mipira ya juu (Aeria duels). Tackles na clearances factor mushimu sana kwenye ukabaji. Pia ana miaka 23 tu na analipwa kwenye elfu 40 euro tu.
Kama Chelsea ikifanikiwa kumchukua Murilo wa Forest ndie kiboko yao wote ila ikishindwa kwa sababu ana mkataba hadi 2029 basi nashauri Piero Hincapié wa Leverkusen ndie asajiliwe kwa sababu anazo sifa zote za kufit kwenye mifumo ya mishara, umri na uchezaji wa Chelsea.

Je Chelsea inamfuatilia Piero Hincapié?
Ndiyo, Chelsea wameonyesha nia kubwa ya kumsajili Piero Hincapié kutoka Bayer Leverkusen katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwaka 2025.
  • Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca, ameripotiwa kumtaja Hincapié kama lengo kuu la usajili baada ya Levi Colwill kuumia goti (ACL), majeraha yanayoweza kumweka nje msimu mzima.
  • Chelsea wameandaa ofa ya €50 milioni kwa ajili ya Hincapié, ingawa Bayer Leverkusen wanamtathmini kwa karibu €60 milioni, na mkataba wake unaisha mwaka 2029, jambo linalofanya mazungumzo ya usajili kuwa magumu.
  • Hincapié anaonekana kama beki mwenye uwezo wa kucheza nafasi ya LCB na LB, na kiwango chake katika Bundesliga kimemfanya kuwa chaguo bora kwa vilabu vya Premier League.
  • Vilabu vingine kama Newcastle, Real Madrid, Atlético Madrid, na Juventus pia vimehusishwa naye hivi karibuni.
 
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Chelsea wanasema Nicolas Jackson atarudishwa kikosini dirihsa la usajili likishafunbgwa na kama hajapata timu. taarifa hizo zinadai kuwa Chelsea hawa uharaka wa kumuuza.
1755100261608.png
 
Katika hao watatu Bastoni na Vasquez nawatoa kwenye kinyang'anyiro kwa sababu kuu 3 hizi hapa
  1. Wana umri mkubwa kila mmoja ana miaka 26 nje ya umri unaotakiwa Chelsea ambao ni chini ya 25, hata hivyo hii sio sababu kuu
  2. Bastoni mshahara wake unakaribia laki 2 za Euros nje ya muundo wa mishahara Chelsea ila pia hii sio sababu kuu. Vasquez analipwa kwenye elfu 30 za euro sio ghali
  3. Pia Piero Hincapié ni mzuri sana kwenye mipira ya juu (Aeria duels). Tackles na clearances factor mushimu sana kwenye ukabaji. Pia ana miaka 23 tu na analipwa kwenye elfu 40 euro tu.
Kama Chelsea ikifanikiwa kumchukua Murilo wa Forest ndie kiboko yao wote ila ikishindwa kwa sababu ana mkataba hadi 2029 basi nashauri Piero Hincapié wa Leverkusen ndie asajiliwe kwa sababu anazo sifa zote za kufit kwenye mifumo ya mishara, umri na uchezaji wa Chelsea.

Je Chelsea inamfuatilia Piero Hincapié?
Ndiyo, Chelsea wameonyesha nia kubwa ya kumsajili Piero Hincapié kutoka Bayer Leverkusen katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwaka 2025.
  • Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca, ameripotiwa kumtaja Hincapié kama lengo kuu la usajili baada ya Levi Colwill kuumia goti (ACL), majeraha yanayoweza kumweka nje msimu mzima.
  • Chelsea wameandaa ofa ya €50 milioni kwa ajili ya Hincapié, ingawa Bayer Leverkusen wanamtathmini kwa karibu €60 milioni, na mkataba wake unaisha mwaka 2029, jambo linalofanya mazungumzo ya usajili kuwa magumu.
  • Hincapié anaonekana kama beki mwenye uwezo wa kucheza nafasi ya LCB na LB, na kiwango chake katika Bundesliga kimemfanya kuwa chaguo bora kwa vilabu vya Premier League.
  • Vilabu vingine kama Newcastle, Real Madrid, Atlético Madrid, na Juventus pia vimehusishwa naye hivi karibuni.
Mimi ninachojiuliza Chelsea watawezaje kusaini wachezaji watatu kwa wakati kama Garnacho, Xavi Simons na beki wa kati maana baadhi ya wachezaji wamekuwa wagumu kuuza Kama Jackson, Veiga na Nkuku
 
PSG kaliwa tena huko, possesion ya 71% lakini wanaoc heza vizuri ni Spurs ya possesion ya 29%
1755114700718.png
 
Spurs wameongoza 2-0 hadi dakiak ya 85 wameendelea kuongoza 2-1 hadi dakika ya 94 kocha badala ya kufanya mabadiliko ya kukaba anaendelea kuwachezea PSG kama vile wanacheza na Toto Africa. Hichi kikombe japo kidopgo imewaponyokea mdomoni.

Pamoja ni hii failuree bado Spurs ya mwaka huu sio ile ya mwaka jana na inaweza kumaliza juu ya Manure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom