lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
🚨 BREAKING:
Gianluigi Donnarumma ameachwa nje ya kikosi cha PSG kwa UEFA Super Cup dhidi ya Tottenham.Mahusiano na klabu yamevunjika kabisa — PSG tayari wamemsajili Lucas Chevalier kama mrithi wake.
📉 Uwezekano wa kuondoka msimu huu: 80%
🆓 Kubaki hadi kuondoka bure 2026: 20%
Chelsea, mko tayari kumchukua?
⚠️ Udhaifu wake mkubwa:
- Footwork dhaifu kuliko hata Fili Jørgensen
- Mzito sana kureact kwenye mashuti ya nguvu