Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mchezaji ameshaonesha kuwa hataki kuendelea na team yake na amesema anaitaka Chelsea sizani Kama deal itakuwa ngumu
Itakuwa ngumu kwenye bei, tunaweza kumchukua hilo halina shaka ila sio bwerereee ndio nilimaanisha hivyo
Kwa nini
RB Leipzig walikuwa na matatizo ya kifedha ambayo kwa kutangulia kumuuza Sesko wameshatatua na hivyo sasa kwa Simons hawana haraka ya kumuuza labda Simons ashinikize zaidi ya alivyofanya, aache kwenda mazoezi na mechi hadi Leipzig waogope. Wao dau lao wanashikilia euro mil 70 ambayo inaweza kupanda wakishamuuza Sesko
 
🚨UPDATES: Chelsea remain in advanced talks over Xavi Simons but no breakthrough yet for two reasons. Leipzig are focused on Sesko deal right now and then also Chelsea are focused on sales. Leipzig will clarify Xavi situation after Sesko deal.

Xavi Simons is waiting for Chelsea to complete their outgoings.

Nicolas Jackson is leaving Chelsea. It’s not a new news if you have been following the channel.

[via Fabrizio Romano]
Hii nimeisoma na ndio italeta shida. Chelsea walitakiwa wamnunue Xavi Simons kabla ya dili la Sesko kwa sababu Lepzig wanayo matatizo ya kifedha na Sesko kwa mil 80 minatatua matatizo yao yote na hivyo kwao dili la Simons sio la umuhimu tena hivyo watalazimisha tumnunue kwa mil 70 wanayotaka au wakabadilika na kupandisha dau ili kufanya mambo yawe magumu kwetu tu
Au wanaweza kulazimisha mikataba ya wachezaji wanaowatakla Chelsea kwenye win/lose situation
Hizi timu ndogo wao biahsara kub wa sio makombe bali kuuza wachezaji na hapo hawakosei
Leipzig wanawataka wachezaji wanne kutoka Chelsea
  1. Carney Chukwuemeka ,
  2. Tyrique George ,
  3. Axel Disasi &
  4. Renato Veiga
 
Yote unayosema sahihi ila Hilo deal lazima litokee vyovyote vile hata kwa kubadilishana!
 
Changamoto ya THE BLUES ni PAWA ya kukimbia mbio ndefu kukusanya point 3+ kila mechi. Na bet THE BLUES hii ya bwana Toddy itabeba UCL before EPL.
Kwa Imani kubwa tuna kikosi kipana moja Kati ya sababu iliyofanya tuishiwe pawa ni injury ya Lavia na hatukuwa na mbadala wake pamoja na kushuka kwa kiwango cha Palmer na inconsistency ya Jackson na Madueke ila kwa Sasa Palmer akizungua tuna Xavi Simons kwenye wingers tunaowakutosha kwenye strikers tunao na wapo serious ndio maana nimeipa nafasi team yangu
 
Chelsea FC wametambulisha wachezaji wao wapya waliosajiliwa hadi sasa Stamford Bridge.
  1. Liam Delap
  2. Dario Esugo
  3. Estevao Willian
  4. Jamie Gittens
  5. Jorrel Hato
  6. Joao Pedro
  7. Xavi Simons - Anakuja
  8. Alejandro Garnacho naye anakuja
Chelseafc
1754498584155.png
 
Arsenal wameshindwa mechi zao zote za Pre-season. Ingekwua ni Chelsea hayo makelele ya hao viropoka wa Arteta tungekuwa hatulali kwenye vitanda vyetu
 
Arsenal wameshindwa mechiz ao zote za Pre-seaosn. Ingekwua ni Chelsea hayo makelele ya hao viropoka wa Arteta tungekuwa hatulali kwenye vitanda vyetu
Hata humu ndani mashabiki wa Chelsea ikiongozwa na yule mzee wa takataka atakuja na theory za boflo na wamiliki wafanyabiashara ....na mzee wa jobbtruetrue sahv huwaoni
 
BREAKING NEWS: Chelsea wameanza mazungumzo ya awali kwa Alejandro Garnacho, huku winga huyo wa Manchester United akihaha kuhama.

Manchester United wanataka zaidi ya pauni milioni 40, lakini Chelsea wanahisi bei itashuka iwapo uhamisho wa Benjamin Sesko utakamilika.

@alex_crook
@JacobsBen

1754566863067.png
 
View attachment 3434935
Priority Xavi Simons huyu hatumtaki
 
Screenshot_20250807_205339_LiveScore.jpg

Kuna hiyo mechi tumecheza trh 26July tukachenyetwa, mbona hatuna taarifa nayo?
 
TAARIFA MBAYA:
🚨 Levi Colwill ameumia goti (ACL) na atakuwa nje kwa zaidi ya miezi 6 😔
Dirisha la usajili bado liko wazi, Chelsea inapaswa kuchukua hatua haraka kuhakikisha beki wa kiwango cha juu 💪
Hii si tu kuziba pengo, ni fursa ya kuboresha safu ya ulinzi 🔒
Majina ya kufuatilia:
🔵 Marc Guehi
🌪️ Murillo
🇪🇨 Piero Hincapié
🧠 Jarrad Branthwaite
1754596613530.png

1754596602290.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom