🔥 Utabiri wa Mpangilio wa Top 6 – EPL Msimu wa 2025/26 🔮
1️⃣ Liverpool – Kikosi kipya chenye njaa ya ubingwa, kinaonekana kuja kwa kasi ya radi.
2️⃣ Chelsea – Maresca anajenga mashine ya kisasa; hakuna nyota mmoja, ni mfumo unaoua.
3️⃣ Man City – Ingawa ni mabingwa wa zamani, ushindani unaonekana kuwakalia vibaya msimu huu.
4️⃣ Arsenal – Vijana wa Arteta wanapambana, lakini bado wanahitaji ukomavu wa mechi kubwa.
5️⃣ Man United – Kipindi cha mpito kinaendelea; bado wanatafuta utambulisho wa kudumu.
6️⃣ Tottenham Hotspur – Wanaonyesha dalili za kuimarika, lakini consistency bado ni changamoto.
⚽ Msimu huu unakuja na moto wa ushindani—hakuna nafasi ya makosa! kosa moja utabiri umevurugika 😀