Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Yule Jackson auzww tu hana ishu, hawezi game za ushindani kama hizi. Chelsea ile ninayoifahamu imerejea sasa, vilabu vya England vijipange
Msiba wa Jota umemvuruga, msameheni tu heda inamchanganya.Nakumbuka hawa PSG waliwatundika Goli moja takatifu na kuwatoa nje ya Club bingwa leo wamekuwa wakulima Mashabiki wa Liverpool bhana
Wao Arsenal ni Vikulima kama wametolewa na Wakulima😀Nakumbuka hawa PSG waliwatundika Goli moja takatifu na kuwatoa nje ya Club bingwa leo wamekuwa wakulima Mashabiki wa Liverpool bhana
Hamna timu hapo cheltako wamekutana na wakulima
Leo tunali9piza kisais kwa wale wote walioonewa na huyu mkulimaHayu Psg alikua anazichukulia timu za Epl kama matako yake, kamgonga Liverpool, Arsenyashi na Aston Villa.
Leo hii kakutana na Kenge weusi mwenyewe kaufyata mkia, tena kipindi cha pili akitaka kujitutumua atakula mkono kabisa.
Kashaokoa magoli manne ya waziWakuu, ni kweli Sanchez hua anazingua Ila kwa hili game mpaka dkk hii aisee anaupiga mwingi mno 🙌