Chelsea alikuwa na odds 5 afu PSG ana 1 hv 😂Mimi ninawasikitia tu waliobeti tena pesa nyingi
Tulia ww nuno mendez kumbe mchumba tuPsg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Cheltako Leo wanachezea na wakulimaTulia ww nuno mendez kumbe mchumba tu
Tuliwaambia Intermilan na Real Madrid hawakucheza hawa PSG wasinghebeba hata UEFAPsg kweli mchuzi yaani wanapigwa kama watoto na cheltako
Chelsea ni chelsea tu siku zote ukimpuza unahaibika mwenyeweReece James Kapteni wetu jana alisema Chelsea sio Inter mIlan wala sio Real Madrid, hawa PSG wakapuuza
Aisee hamna timu hapo wamesifiwa sana kumbe viazi kabisaTuliwaambia Intermilan na Real Madrid hawakucheza hawa PSG wasinghebeba hata UEFA
Inter wangeweka intensity ile waliowaonyesha kwa Barca wangebeba UEFA
Real Madrid Alonso alikuwa akitest mitambo akafumaniwa
Hamna timu hapo mmekutana na michuzi
Hamna timu hapo cheltako wamekutana na wakulimaMichuzi PSG walimfunga Madrid goal 4,
Tunajua hao PSG ni Mabingwa wa UEFA 2025.
Leo tunaitangazia Dunia we are Back the Blues.
HahahHapa nipo wapi, naona watu wamevaa nguo za bluu wanapaa mawinguni.
Hapa Jackson angekosa aiseeGOAL! Joao Pedro chipps the ball into the net as Palmer assists! Chelsea 3-0 PSG
View attachment 3404926
mlikuwa mnasambaza kibango kuwa tusilete timuHamna timu hapo cheltako wamekutana na wakulima
Wengi walidanganywa na media.Mimi ninawasikitia tu waliobeti tena pesa nyingi
Yule kuna mtu humu alikuwa anamtetea wakati ni uwezo 0Hapa Jackson angekosa aisee
Wanatamani kushangilia magoli Ya Chelsea ila hawana namna. PSG amekuwa Mkulima sasa.mlikuwa mnasambaza kibango kuwa tusilete timu
Nakumbuka hawa PSG waliwatundika Goli moja takatifu na kuwatoa nje ya Club bingwa leo wamekuwa wakulima Mashabiki wa Liverpool bhanaHamna timu hapo cheltako wamekutana na wakulima