Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi ndio tutaanza kwa kishindo kikubwa kwa sababu hii ni preseaosn msisahau hili. Baada ya hapa hakutakuwepo na any other serious preseaosn zaidi ya kuwarm up tu kwa ajili ya ligi. Mchezaji anayemiss hapa ni Gittens tu na watakaosajiliwa ambao sio kwa umuhimu

Taarifa zinasema kuwa Chelsea wataenda pre seaosn pale Cobham tu na watacheza na AC Milan na Levakusen . Haya ni kama mazozezi ya kawaida ya kujiandaa na ligi kwa hiyo hakutakuwepo na kusafiori popote
Wachezaji watapumzika lini? Warudi lini kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu
 
Mimi siamini kwenye Bali naona momentum ya team itakuwa high kitu ambacho kocha atakifanya pre-season atawapa nafasi wachezaji ambao hawapati nafasi Kama Essugo, Santos n.k ili waoneshe uwezo wao ukoje alafu wengine watakuwa wanapumzishwa
Sio rahisi aseeh. Hao wanaperform game moja inayofata wanachoma
 
Wachezaji watapumzika lini? Warudi lini kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu
Wachezaji wa Chelsea wamepangiwa kupokea kiwango cha chini cha lazima cha mapumziko ya wiki 3. Kurejea Cobham kwa mazoezi ya kabla ya msimu karibu Agosti 5, huku mechi mbili za kirafiki zikipangwa na Bayer Leverkusen mnamo Agosti 8 na AC Milan mnamo Agosti 10.
[@kierangill_DM]
 
Ligi ya EPL inaanza mwezi wa nane, mwezi huu wa saba kuelekea katikati ndio tutamaliza hii michuano ya FIFA CWC. Sasa wachezaji watapumzika kwa muda gani? Waje warudi pre season wapate walau wiki mbili za mazoezi ndio waje kuanza ligi!

Naamini tutaanza kwa kuchechemea sana.
Ndio maana timu inabidi ziwe na squad kubwa ili kuwa na pumzi , kuwa na kundi kubwa la wachezaji na kuwafanyia rotation ndio solution , mliona msimu uliopita hata wale Nottingham walivyokuwa wanachekwa kwamba wanasajili wachezaji wengi ,ila mliona moto wao mpaka mwisho wa ligi .,Sasa hivi michuonano ni mingi hata hawa akina Jackson tusiwauze tiwaache Tu watatufaa kwenye hata carabao ,FA nk ,mzigo mkubwa mpaka mwisho wa msimu na hapo bado majeruhi na tunashindana UEFA pia
 
Wachezaji wa Chelsea wamepangiwa kupokea kiwango cha chini cha lazima cha mapumziko ya wiki 3. Kurejea Cobham kwa mazoezi ya kabla ya msimu karibu Agosti 5, huku mechi mbili za kirafiki zikipangwa na Bayer Leverkusen mnamo Agosti 8 na AC Milan mnamo Agosti 10.
[@kierangill_DM]
Daah kama ni hivi sawa japo nahisi huko mbele wapewe mapumziko kwa kuwapunguzia mechi. Yan rotation ya wachezaji itatawala sana
 
Ndio maana timu inabidi ziwe na squad kubwa ili kuwa na pumzi , kuwa na kundi kubwa la wachezaji na kuwafanyia rotation ndio solution , mliona msimu uliopita hata wale Nottingham walivyokuwa wanachekwa kwamba wanasajili wachezaji wengi ,ila mliona moto wao mpaka mwisho wa ligi .,Sasa hivi michuonano ni mingi hata hawa akina Jackson tusiwauze tiwaache Tu watatufaa kwenye hata carabao ,FA nk ,mzigo mkubwa mpaka mwisho wa msimu na hapo bado majeruhi na tunashindana UEFA pia
Yes hata mimi naona rotation itakua kubwa sana.
 
Haya ni matusi na nafasi zao halisi atacheza Nani?
Ndio maana Maresca anawapenda wachezaji kama akina Joao Pedro anayecheza nafasi nyingi ili ikitokea pengo wazibe bila gharama. Maresca sasa hivi anahangaika tu na washambuliaji. Wewe ulishasikia fununu tena za kusajili mabeki. James na Gusto wapo. Usishau pia Acheampong yupo fulback wote wanacheza kushoto na kulia
 
Screenshot_20250709-215334.png
 
Ilibaki kidogo Neto aue mtu huku 😂

Halafu akifukuzwa aje kula kwako?, Hivi unadhani hao makocha unaowaona wanafaa waliibuka ghafla!!?, Maresca ndo kocha wa Chelsea kwa sasa tumuunge mkono tu na uzuri timu inaonesha mabadiliko makubwa tu au ndo tumezoea kutafuta udhaifu tu wa mtu hata kama afanye vizuri kiasi gani!!? Ili mladi tu umkosoe?
Huyo akizeeka watamuita mchawi aisee😂
 
Ndio maana Maresca anawapenda wachezaji kama akina Joao Pedro anayecheza nafasi nyingi ili ikitokea pengo wazibe bila gharama. Maresca sasa hivi anahangaika tu na washambuliaji. Wewe ulishasikia fununu tena za kusajili mabeki. James na Gusto wapo. Usishau pia Acheampong yupo fulback wote wanacheza kushoto na kulia
Maeki wa kati chelsea ni changamoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom