Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,780
- 9,148
Mechi iko masaa mabaya.
Saa kumi usiku ndio masaa mabaya wakati ndio muda mzuri kwa majira ya uko marekaniMechi iko masaa mabaya.
kwa masaa ya huku bongo.Saa kumi usiku ndio masaa mabaya wakati ndio muda mzuri kwa majira ya uko marekani
Mmh hizo tetesi hazipoKuna Tetesi za kukosekana Kwa Lavia kwenye game ijayo kutokana na majeruhi ...😓😓😓
Sasa mnataka asishangilie kwann ..mbona mnapresha dogo hv😂Sikieni maneno ya kijana wenu.
Hata nikifunga dhidi ya Chelsea nitashangilia ndio, kwakua sijavaa jezi ya Chelsea nitakua sawa.
Yupo sahihi 100%Sikieni maneno ya kijana wenu.
Hata nikifunga dhidi ya Chelsea nitashangilia ndio, kwakua sijavaa jezi ya Chelsea nitakua sawa.
Kulia au kushoto mkuu? Namba tank anakaa wapi uwanjani?,Namba 5
Pia kasema anatamani siku moja acheze Spain, hawa watoto wa kizazi hiki wamelogwa na Real Madrid na BarcelonaSikieni maneno ya kijana wenu.
Hata nikifunga dhidi ya Chelsea nitashangilia ndio, kwakua sijavaa jezi ya Chelsea nitakua sawa.
Hivi imekuaje James kutolewa Tena na kucheza santosPia kasema anatamani siku moja acheze Spain, hawa watoto wa kizai hiki wamelogwa na Real Madrid na Barcelona
Reece James kaumia kwenye warm up na nafasi yake ikachukuliwa na Andrey SantosKikosi hicho cha kufa na kupona
Chelsea Vs Palmeiras
4-2-3-1
Lineup
----Delap----
Nkunku-Palmer-Neto
---Enzo----James---
Cucurella-Colwill-Chalobah-Gusto
-----Sanchez------
Bench
1) Penders
2) Jorgensen
3) Slonina
4) Acheampong
5) Tosin
6) Anselmino
7) Sarr
8) Santos
9) Essugo
10) Pedro
11) Dewsbury-Hall
12) Madueke
13) George
14) Jackson
15) Guiu
View attachment 3394358
Kaumia kwenye warm upHivi imekuaje James kutolewa Tena na kucheza santos
Hata hivyo maamuzi sahihi kuliko kumchezesha James kwenye midfielder Kama umegundua kitu Essugo haaminiki kabisa na kocha sijui usajili wake sio pendekezo la kochaReece James kaumia kwenye warm up na nafasi yake ikachukuliwa na Andrey Santos
Mungu saidia Chelsea ishinde leo
Leo amekuwa akitumia nguvu kupita maelezo ndio maana imepelekea hivyo but bado tuna strikers wazuri Joao Pedro au Jackson wanaweza kuchezaSo far so good.
Dalap misses next match