Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hivi vipi kuhusu Joao Pedro kama amejoin na wenzie Marekani au la!!?
Ameshajoin, ameshasain mkataba wa miaka saba na tayari ameonekana akiwa na mazoezi na wenzake leo. Pia Chelsea imeshamtangaza kuwa ameshabatizwa kwa maji ya blue.

1751470676100.png
 
Mkuu punguza presha ! Msimu ujao bado mtateseka tu, hakuna mahali mtafika
Mkuu punguza presha ! Msimu ujao bado mtateseka tu, hakuna mahali mtafika
🚨 BREAKING:
Liverpool 🔴, Man City 🔵, Man United 🔴, na Arsenal 🔴 wametaja vikosi vyao watakavyosafiri kwenda Marekani kuangalia Chelsea 🔵 katika Kombe la Dunia la Vilabu QF dhidi ya Palmeiras Ijumaa usiku🌍⚽.
Mtanage huo utafanyika katika katika uwanja wa Lincoln Financial Field ulioko kwenye mji wa Philadelphia, Pennsylvania
Karibuni Majirani wetu
Mmepewa mwaliko hapo changamkieni ili mjenge mentality kwa wachezaji wenu na makocha wenu wapende mashindano kama hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom