Palmer akiwa winger ni very ineffective, huodari wake ni akiwa nyuma ya CF hivyo huyo kipara asianze vuruga wachezaji ambao wamesettle kwenye number zaoKwenye mfumo mpya am,bao kocha ameshasema juzi tulipocheza na E. Tunis kuwa Palmer atakuwa RW na Enzo no 10
So mfumo utakuwa hivi
Lineup ni 3-2-4-1
-----------------------Delap/Jackson-----------------------
Gittens/George-----Joao/Santos----Enzo/Estevao------Palmer/Neto
-----Lavia/Cucurella------------------Caicedo/Esugo--------
Anselmino/Colwill/Badiashile---Sarr/Fofana/Tosin----James/Gusto/Josh
-------------------Sanchez/Jorgensen/Penders----------------------