Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeona watu wengi Wana criticize Chelsea kutaka kumsajili Joao Pedro wanaona hana namba kubwa ya magoal nataka niwaambie kitu, Kuna wachezaji huwezi kuwahukumu kwa namba ila unatakiwa uwaangalie kwenye game Joao Pedro ndio mchezaji wa aina hiyo. Ukimuangalia mtu Kama Diego costa au Aguero hata Kama ni mara yako ya Kwanza unajua huyu ni striker kutokana na namna wanavyocheza huwa hawakai mbali na goal ila kwa Joao Pedro ni tofauti anaweza akawa amepangwa namba 9 ila ukaangalia uchezaji wake huwezi kujua ni namba tisa kwasababu hatulii kwenye eneo moja utamkuta mara Lw, advance midfielder au RW anashuka mpaka chini, work rate yake ni kubwa uwanjani, ana skills,ana Kasi, good passer na scoring mzuri huwa ana athiri mchezo mzima ana fanya vitu vitokee. Akija Chelsea tutakuwa tumepata mchezaji mzuri mwenye ubunifu hii itasaidia kutomtegemea sana Cole Palmer kwenye kutengeneza nafasi hata kwenye kufunga pia.Jamaa ni kiraka anaweza kucheza nafasi za mbele tofauti Kama namba 9, no 10,7 na 11 watu hawatakiwi kumjudge kwa namba.kiasi fulani nimeanza kuwaamini body yetu ya usajili Wana jicho la mbali
Joao Pedro ni msumbufu sana kule mbele kama Pedro Neto. Ukiwa nawashambuliaji wa kuwa keep busy mabeki wa timu pinzani timu iko salama kabisa.

UZuri mwingine wa Joao Pedro na ndio maana Maresca amemkubali ana uwezo wa kucheza namba zote za ushambuliaji
Anacheza Striker, Left winger, right winger, CAM/No 10
 
Tokea Chelsea iwaruhusu wachezaji wake kuvuta Bhange Marasi wote sasa hivi wanaichukulia Chelsea kama Jamaica, hakuna mchezaji yoyote mwenye rasta akahitajika Chelkenge akachomoa.
Jah man jah gwan.
Flano vipi huko timu yako
 
🚨💙 BREAKING: João Pedro to Chelsea, here we go! Agreement done club to club for fee in excess of £50m.

João will travel on Tuesday for medical tests and contract signing, ready for FIFA Club World Cup.
 

Attachments

  • 20250629_211329.jpg
    20250629_211329.jpg
    441.8 KB · Views: 6
🚨💙 BREAKING: João Pedro to Chelsea, here we go! Agreement done club to club for fee in excess of £50m.

João will travel on Tuesday for medical tests and contract signing, ready for FIFA Club World Cup.
Na jamaa anavyopenda kuwafunga nyumbu nafikiri tangu akiwa Watford....hapo nyumbu tukikutana nazo kabla ya game zinauwakika wa kuliwa goli Moja😂
 
THE BLUES kusajili tuu wachezaji hatujambo
Kuwatumia vizuri wachezaji sasa ndio kituko, tunaishia kuwatoa mikopo, kuwauza na kuua vipaji
Huu usajili ndio wa kwanza kusajili wachezaji wa kwenye mfumo wa koacha huku kocha mwenyewe akishirikishwa. Huko nyuma tuliwasajili wachezaji wa Tod Boehly, Behdad Eghbali, na SDs tu
 
Lavia si atacheza 6 ndio maana nimependekeza Santos siku hizi naona Enzo anapandishwa juu zaidi
Kwenye mfumo mpya am,bao kocha ameshasema juzi tulipocheza na E. Tunis kuwa Palmer atakuwa RW na Enzo no 10
So mfumo utakuwa hivi

Lineup ni 3-2-4-1

-----------------------Delap/Jackson-----------------------

Gittens/George-----Joao/Santos----Enzo/Estevao------Palmer/Neto

-----Lavia/Cucurella------------------Caicedo/Esugo--------

Anselmino/Colwill/Badiashile---Sarr/Fofana/Tosin----James/Gusto/Josh

-------------------Sanchez/Jorgensen/Penders----------------------
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom