Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi ya Benfica na Chelsea imeahirishwa kwa dakika 30. Sheria ya FIFA ni kucheleweshwa mechi angalau kwa dakika 30 kwa sababu ya radi. Kila pigo mpya wa radi ndani ya eneo la maili 10 huweka upya saa. Mchezo hauwezi kuanza tena hadi dakika 30 mfululizo zipite bila radi yeyote kutokea tena.
Dakiak 30 zimeongezwa kwa sababu radi nyingine imepiga kabla dakika 30 hazijaisha
Sasa ni hadi saa 7 na dakia 55
 
Jana tu nilimjibu jamaa kuwa Badiashile kaimprove sana, Leo katuokelea goli ila akaumia na sasa yuko majeruhi tena
Mechi ya Leo haiwezi kuwa kipimo sahihi kwa Badiashile kwasababu muda mwingi tumekamata sisi mechi subiri mechi za pressure
 
Mechi ipi sasa, Badiashile alikuwa mbovu kwenye mechi zote, kama kaweza kucheza vizuri kwenye hizi mechi basi kaimprove, hakuna maneno mengine hata kama bado hawezi kushindania nafasi na akina Colwill lakini hata kwenye backup kaimprove mpe maua yake
 
Chelsea vs Palmeiras kwenye qurter final
Huko tutakutana na Estevao Willian
Mechi itafanyika tarehe 5 Julai 2025 kwenye dimba la Lincoln Financial Field huko Philadelphia, Pennsylvania, saa kumi kamili usiku
 
Yule jamaa wa Liverpool ana lolote leo la kumsema master
Screenshot_20250629-061223_Facebook.jpg
 
Nimeona watu wengi Wana criticize Chelsea kutaka kumsajili Joao Pedro wanaona hana namba kubwa ya magoal nataka niwaambie kitu, Kuna wachezaji huwezi kuwahukumu kwa namba ila unatakiwa uwaangalie kwenye game Joao Pedro ndio mchezaji wa aina hiyo. Ukimuangalia mtu Kama Diego costa au Aguero hata Kama ni mara yako ya Kwanza unajua huyu ni striker kutokana na namna wanavyocheza huwa hawakai mbali na goal ila kwa Joao Pedro ni tofauti anaweza akawa amepangwa namba 9 ila ukaangalia uchezaji wake huwezi kujua ni namba tisa kwasababu hatulii kwenye eneo moja utamkuta mara Lw, advance midfielder au RW anashuka mpaka chini, work rate yake ni kubwa uwanjani, ana skills,ana Kasi, good passer na scoring mzuri huwa ana athiri mchezo mzima ana fanya vitu vitokee. Akija Chelsea tutakuwa tumepata mchezaji mzuri mwenye ubunifu hii itasaidia kutomtegemea sana Cole Palmer kwenye kutengeneza nafasi hata kwenye kufunga pia.Jamaa ni kiraka anaweza kucheza nafasi za mbele tofauti Kama namba 9, no 10,7 na 11 watu hawatakiwi kumjudge kwa namba.kiasi fulani nimeanza kuwaamini body yetu ya usajili Wana jicho la mbali
 
Kuna yule namba tisa wa Flamingo anajua sana
 
Jamie Bynoe-Gittens amekamilisha sehemu kuu ya matibabu kama mchezaji mpya wa Chelsea kama ilivyopangwa.

Mkataba wa £55m umekamilika. 🩺

View attachment 3387612
Tokea Chelsea iwaruhusu wachezaji wake kuvuta Bhange Marasi wote sasa hivi wanaichukulia Chelsea kama Jamaica, hakuna mchezaji yoyote mwenye rasta akahitajika Chelkenge akachomoa.
Jah man jah gwan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom