😂😂😂😂😂Kocha la trial and error bado linafanya experiment zaidi ya mechi 60 kazini
tim ya vitoto vya alufu mbili du!Suala la nidhamu ya wachezaji kocha ameshindwa kudeal nalo, nitakua wa mwisho kuamini uyu kocha aliepewa hii project ni mtu sahihi!
Maresca ndie kawafanya waonekane wazuri kwa Chelsea. Poor lineup, poor subs kila kitu leo hovyoNilijua tu, Flamengo ni moja ya timu nzuri sana.
Hili jian linafaa zaidi kucheza ngoma za kienyeji kuliko sokaUliona wapi mchezaji anaitwa jackson kenge kabisa
Kazingua hadi yeye mwenyewe leo ni aibu tu hawezi kunyanyua kichwaPoleni THE BLUES kwa kupokea kipigo. Sikufanikiwa kuangalia mechi ila lazima kocha wetu Boflo kazingua.
Nahisi Estevao akija atakula benchi sanaMechi ya pili mfululizo Estevao Willian ametajwa ni MOTM kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa Vilabu
View attachment 3376239
Dah kwa kweli mkuu kwa talent ya wachezaji tulizonazo tunatakiwa tupate kocha aina ya Luis Enrique. Kocha mwenye uwezo wa kutumia vipaji, mbinu/style bora za kiuchezaji.Kazingua hadi yeye mwenyewe leo ni aibu tu hawezi kunyanyua kichwa
Santos yuko na Esugo, viungo wazuri unakuja kumuweka James RB mzuri duniani acheze kiungo
Nilipomuona tu Gusto yuko na Palmer RW nikajua leo tunachemsho utumbo