Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila Sanchez sio kipa yaani anakitete ile mbaya me nikajua atakifanyia kazi lakini wapi
Sasa kama unakocha wa championship unategemea nini
Palmer hana anachofanya kwenye RW ila kocha hajui cha kufanya wachezaji out of position kila mechi utafikiri ndio kwanza anaanza msimu
 
Sasa kama unakocha wa championship unategemea nini
Palmer hana anachofanya kwenye RW ila kocha hajui cha kufanya wachezaji out of position kila mechi utafikiri ndio kwanza anaanza msimu
Lwo palmer anaruka ruka tuu...huyu mwengine anaingiza sub anaanza rukia watu
 
Kocha mie naona mjinga jemsi kamuweka kucheza nni saa yaani mie naona hiii timu niache kufatilia mpka maresca atakappfukuzwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom