Kwa namana gani mtaalamuUle ujinga wa kutoa mikataba ya miaka saba utaanza kubackfire kwenye hichi kikundi cha mipasho
Inakua gharama kuwavunjia mikataba wachezaji mizigo kwakua wapo wengi.Kwa namana gani mtaalamu
Wana mishahara midogo, ni rahis kuwauza kuliko unavyofikiri, Headache inakuwa kwa wachezaji kama Sterling, Lukaku tulipata shida sana. Hawa wa elfu 90 kuwauza ni mara moja tuInakua gharama kuwavunjia mikataba wachezaji mizigo kwakua wapo wengi.
Inabidi muuze kukwepa gharama. Ndiyo hivi mchezaji mlinunua 72M mpo radhi kuuza kwa 5M
Kocha amesema anaweza kufanya mabadiliko ya kikosi so tunaweza kumuona delap Leo akianzaLeo tunakutana na
Fillipe Luiz LB wetu wa zamani- kocha wa Flamengo
Jorginho kiungo wetu wa majuzi tu - kiungo wa sasa wa Flamengo
View attachment 3377054
Kikosi hicho hapo nimeshawekaKocha amesema anaweza kufanya mabadiliko ya kikosi so tunaweza kumuona delap Leo akianza
Uzuri mmoja Chelsea wanacheza soka katili. Naogopa tu second yellowHili game tusipopigwa cjui, jamaa wanashambulia knoma