Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwamba ndiyo bye bye anarudi Mwantesa Utd na Chelsea ilibaki na pengo lake au unamaanisha nini Mkuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity
Jadon Sancho na Chelsea wameshindwana kwenye mshahara
Sacho anataka mshahara usiop[ungua Puni 200k/week
Chelsea wao wako tayari kumpa pauni 130k/week
Sasa Jadon Sancho ndio ametuaga kwenye hiyo screenshot
Chelsea itabidi wailipe Man United fain i ya pauni mil 5
 
Faini ya £5M sio kitu kwa Bank ya Marekani. Tutamkodia na Private jet ya kumrudisha unyumbuni.
 
Mike Maignan ndiye kipa sahihi wa UCL, sio Robert Sanchez na sio Petrovic. Ana zaidi ya miaka 5 akicheza kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFAView attachment 3355167
Kweli huwezi kwenda ucl kupambana na kina psg umtegemee Sanchez n petrovic...hapa uongozi wa Chelsea umeongeza uzoefu pia ataleta leadership kwenye hiki kikosi Cha mabarobaro ana miaka29 nadhani n ni captain wa ac Milan km sikosei...tetesi zinasema Dili Lina 60% kukamilika
 
Tarehe 4 jun tumekamilisha usajili wa liam delap kutoka ipswich kwa dau la 34£

Dili la kumsajili jadon sancho mazima limecanceliwa..

Tukiwa tunajipanga kumsajili kipa wa ac milan ...

Tukumbuke pia sterling amerud baada muda wa mkopo kuisha pale uyatimani.

Tuendelee kunywa mchuzi...
 
Dah huyu sterling auzwe tuu, Ila huyu delap naona tumemsajili mana alitunyoosha vzr 😂
 
Delap amna kitu mle ,,,, ,,naona bei yake nzuri tu pengine

Bora mngetafuta proven kama ohsmen, victor goyk, ssesko n.k !!!
 
Aliuzwa mount na kisha akasajiliwa palmer mkasema hivyohvyo....embu mrelax kidg Liam ana potential kubwa sana na ni premier league proven Msimu mzima kashawasumbua mabeki km kina Gabriel ingawa timu yake ilikuwa inaonja vipigo ...Werner huyo si alikuwa balaa anakimbizana na lewandoski ligi ya bundesliga magoli 15+ kila msimu tukasema streka si ndo huyu mwisho wa siku mechi yake ya kwanza na Brighton akasema ligi ya uingereza Ina mabeki warefu🤣
 
Ligi kuu ya uingereza kwa hizi timu top 4/6, kama unataka kucompete vikombe vikubwa huhitaji mchezaji potential , bali proven!!!! Wewe una nwaneri, sijui mainoo, hojlund, Rico Lewis, ama Jackson unasema eti tumvumilie ni potential, hakuna kitu kama hicho kama unataka kushinda unamchukua mtu kazi !
 
Gsn_k6nWUAACa4f.jpeg
 
Huyu Delap anajua kufunga, japo waingereza sio wa kuwadhamini aisee ataweza akatusurprise akawa km Jackson
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom