Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ligi kuu ya uingereza kwa hizi timu top 4/6, kama unataka kucompete vikombe vikubwa huhitaji mchezaji potential , bali proven!!!! Wewe una nwaneri, sijui mainoo, hojlund, Rico Lewis, ama Jackson unasema eti tumvumilie ni potential, hakuna kitu kama hicho kama unataka kushinda unamchukua mtu kazi !
Sasa Ndo ukubaliane na sera mpya ya Chelsea na umiliki mpya .km unamtaka proven striker kina osimhen wakubali kwenda na wage structure ya Chelsea la sivyo aende zake arabuni ....n.k. hii Chelsea mpya sio Enzi za roman abrahamovic and by the way ligi ya epl iheshimiwe unaweza kuwa proven huko ulipotoka ukaja epl ukasanda ..mfano kina falcao, higuain, lukaku ,Werner , dimaria ,balotelli n.k.
 
Gusto leo amekuwa na mechi nzuri sana akiwa na France akicheza kama beki wa kulia hakuna mambo ya invented
Kikosi chetu kwa kweli sio kibaya ila gape la mwalimu mchanga ndio linatunyima kuwa contender kwenye mataji makubwa
 
Vipi na Martinez na ureno yake alimchezesha Julian nevez kwenye role ya inverted fullback na yy ni mwalimu mchanga ?
 
Vipi na Martinez na ureno yake alimchezesha Julian nevez kwenye role ya inverted fullback na yy ni mwalimu mchanga ?
Unafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingia
Then utapa jibu la swali lako
 
Unafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingia
Then utapa jibu la swali lako
Lkn kiungo namba 6 kucheza beki ya ya pembeni mbn inafanyika sana na faida yake unaiona pia anaingia kati kusaidia viungo semedo kwenye hiyo mechi aliingia tu sababu Neves alizidiwa tu ujanja na Nico na si sababu ya ukiungo wake
 
Unafikiri kwa nini alimtoa baada ya first half? Na impact ya Nico second half ilikuwa sawa na first half? Je Semedo aliendelea kuwa inverted? Baada ya kuingia
Then utapa jibu la swali lako
😂Kwani maresca naye si Kuna game tunaona anaanza na approach ya inverted fullback km game ya final na real betis km sikosei na baada ya mapumziko akamtoa malo gusto na kumuingiza James kama hvyohvyo alivyofanya Martinez ...au ni chuki tu kwa maresca??😂...
 
Lkn kiungo namba 6 kucheza beki ya ya pembeni mbn inafanyika sana na faida yake unaiona pia anaingia kati kusaidia viungo semedo kwenye hiyo mechi aliingia tu sababu Neves alizidiwa tu ujanja na Nico na si sababu ya ukiungo wake
Point yangu ni game reading, silaha ulizonazo pamoja na strength ya opponent huwezi ng'ang'ania approach ambayo unaona fika haiendani na wachezaji wako au inapunguza strength ya wachezaji wako
Hiyo formation inakupa strength kwenye kushambulia ila inakuexpose kwenye kushambuliwa maana unakuwa umerundika wachezaji katikati, opponent akitanua uwanja ni kisanga
pili ubora wa hiyo formation inahitaji backline nyepesi kurecover na kunusa hatari kitu ambacho hatunacho
Kinachokera zaidi kuna moment unakuta Gusto yupo kwenye box halafu RW yupo pembeni na wakati hana skills za kufunga unategemea nini
Thus why nasema bado kocha hajafikia zile level ambazo anaweza leta ushindani serious kwenye zile mechi za kibabe (sio kwamba ni useless coach) japo ana room ya improvement
 
Wamiliki na SDs Wamefanya vizuri zaidi kuliko mabaya.
Wameweza kuwasajili wafuatao:
  1. Cole Palmer
  2. Romeo Lavia
  3. Marc Cucurella
  4. Pedro Neto
  5. Moises Caicedo
  6. Enzo Fernandez
  7. Estevao Willian
  8. Andrey Santos
  9. Dário Essugo
  10. Mamadou Sarr
  11. Geovany Quenda
  12. Kendry Paez
  13. Liam Delap
  14. Mike Penders
Nini kingine unataka wawe wema?
 
Badiashile?
Fofana ?
Nkuku? Kina Sanchez ? Kepa? Mudryick?

Mbona hamuwataji hao kama usajili bora ? Dustbin 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮
 
Point yangu ni game reading, silaha ulizonazo pamoja na strength ya opponent huwezi ng'ang'ania approach ambayo unaona fika haiendani na wachezaji wako au inapunguza strength ya wachezaji wako
Hiyo formation inakupa strength kwenye kushambulia ila inakuexpose kwenye kushambuliwa maana unakuwa umerundika wachezaji katikati, opponent akitanua uwanja ni kisanga
pili ubora wa hiyo formation inahitaji backline nyepesi kurecover na kunusa hatari kitu ambacho hatunacho
Kinachokera zaidi kuna moment unakuta Gusto yupo kwenye box halafu RW yupo pembeni na wakati hana skills za kufunga unategemea nini
Thus why nasema bado kocha hajafikia zile level ambazo anaweza leta ushindani serious kwenye zile mechi za kibabe (sio kwamba ni useless coach) japo ana room ya improvement
Tumuamini hayo mapungufu nadhani atayafanyia kazi na kuwa better zaidi
 
Naona timu yangu inazidi kusajili matakataka tu, inasikitisha sana!
 
Wamiliki na SDs Wamefanya vizuri zaidi kuliko mabaya.
Wameweza kuwasajili wafuatao:
  1. Cole Palmer
  2. Romeo Lavia
  3. Marc Cucurella
  4. Pedro Neto
  5. Moises Caicedo
  6. Enzo Fernandez
  7. Estevao Willian
  8. Andrey Santos
  9. Dário Essugo
  10. Mamadou Sarr
  11. Geovany Quenda
  12. Kendry Paez
  13. Liam Delap
  14. Mike Penders
Nini kingine unataka wawe wema?
Kingine wasajili:-
1. Kocha
2. Kocha
3. Kocha

Maresca viatu vya THE BLUES havimtoshi
 
Kikosi cha Chelsea cha Wachezaji 28 kwa Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025
Makipa (4):
  • Robert Sanchez
  • Filip Jorgensen
  • Mike Penders
  • Gaga Slonina
Mabeki(10):
  • Marc Cucurella
  • Tosin Adarabioyo
  • Benoît Badiashile
  • Levi Colwill
  • Mamadou Sarr
  • Trevoh Chalobah
  • Reece James
  • Malo Gusto
  • Aaron Anselmino
  • Josh Acheampong
Viungo (6):
  • Enzo Fernandez
  • Moisés Caicedo
  • Dario Essugo
  • Andrey Santos
  • Ukumbi wa Kiernan Dewsbury
  • Romeo Lavia
Washambulizi (8):
  • Liam Delap
  • Pedro Neto
  • Cole Palmer
  • Noni Madueke
  • Nicolas Jackson
  • Christopher Nkunku
  • Tyrique George
  • Marc Guiu
Nini maoni yako
 
Mbona Estevao Wilian simuoni kwenye list ya wachezaji wa World Cup Club Kwa upande WA timu Chelsea.
 
Enzo Maresca ajifananisha na Luiz Enrique
"Luis Enrique amejenga PSG ya kuvutia na kwa udogo wangu nikiwa Chelsea ninajaribu kufanya vivyo hivyo"
@Corriere

1749677513012.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom