The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,181
Nilomba over 2.5 nikaacha nikaomba under 3.5 now presha juu
Duh, ngoja tuone inaweza ishia hapohapoNilomba over 2.5 nikaacha nikaomba under 3.5 now presha juu
Sawa sawa.Nilomba over 2.5 nikaacha nikaomba under 3.5 now presha juu
Endelea kuiona hakuna aliyekukatazaNaiona droo hapa
Wacha hizo nimeeka hela mzeeSawa sawa.
Bc twende na 1 : 3 💙
Hata aliyeweka over 3.5 nae kaweka Hela 😎Wacha hizo nimeeka hela mzee
Hakuna cha drow hapo mkuu hii inaisha 2-1Naiona droo hapa
HataDah nishaliwa *****Hata aliyeweka over 3.5 nae kaweka Hela 😎
Haya bwana wamekula wengine lakini.Kitu hicho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pole mkuu 😂
.Sancho tumsajili mazima.
Hakika..Tunaweka rekodi yetu kwa timu za Ulaya.
Chelsea ndo timu yenye vikombe vyote vya club