Nyie nao ni akina nani?Kenge kabisa
Msimu umeisha Huna kitu na msimu ujao pia utatoka patupuKenge kabisa
Ni kweli. Ila kenge kabisaMsimu umetisha Huna kitu na msimu ujao pia utatoka patupu
Mlitaka hii timu ya watoto wa Boehly ibebe ubingwa wa EPL, muwe halisia basi. Tunashangilia timu ya watoto kukomaa kiasi cha kuweza kushirikli UCL mwakani ili hata akina Estevao Willian wakija wapate kushiriki mashindano ya heshima.Halafu wanashangilia kama wamebeba ubingwa vile? Yaani tabia za Arsenal kabisa hizi za kushangilia nafasi ya 4, Yaani hata liva waliobeba ubingwa hawajashangilia Hivyo!
Namsubiri kesho. Nione atafanya nini kwenye Conference final na BetisMlitaka hii timu ya watoto wa Boehly ibebe ubingwa wa EPL, muwe halisia basi. Tunashangilia timu ya watoto kukomaa kiasi cha kuweza kushirikli UCL mwakani ili hata akina Estevao Willian wakija wapate kushiriki mashindano ya heshima.
Kumbuka pia kuwa hakuna bilioni moja iliyotumika hata milioni mia 4 hazifiki. Kwa wanaojua mahesabu hizo pesa zimegawanywa kwenye installment na sajili hizi ni za miak mingi ijayo. Mimi niko positive, nilikuwa na wasiwasi na kocha tu na bado ninao kwa sababu ni mjuaji sana huku hajui mambo mengi ya ukocha. Mtu ambaye hata kwenye press confrence hawezi kuongea!
Mkuu nadhani umesahau kuwa faida haipatikani kwa kubeba makombe tu, hata kuwauza hao wachezaji baadae nayo itakuwa faida muhimu tutaangalia UCL na timu yetu ikiwemo hiyo ni nafasi ya kuwatangaza wachezaji wetu kwa ajili ya biashara baadae na vilevile kuwakomaza kwa ajili ya kuitumikia timu kwa viwango vizuriKwa mabilioni tuliyotumia kuwekeza kununua wachezaji lori 6 na nafasi tuliyomaliza EPL haviendani. Kiuchumi tunaendelea kupata hasara
Duh aisee we unafundisha timu gan 🤣Mlitaka hii timu ya watoto wa Boehly ibebe ubingwa wa EPL, muwe halisia basi. Tunashangilia timu ya watoto kukomaa kiasi cha kuweza kushirikli UCL mwakani ili hata akina Estevao Willian wakija wapate kushiriki mashindano ya heshima.
Kumbuka pia kuwa hakuna bilioni moja iliyotumika hata milioni mia 4 hazifiki. Kwa wanaojua mahesabu hizo pesa zimegawanywa kwenye installment na sajili hizi ni za miak mingi ijayo. Mimi niko positive, nilikuwa na wasiwasi na kocha tu na bado ninao kwa sababu ni mjuaji sana huku hajui mambo mengi ya ukocha. Mtu ambaye hata kwenye press confrence hawezi kuongea!
Wale wote ambao hawakujasajiliwa kwenye hayo mashindano akiwemo Romeo Lavia obviously hawawezi kupewa medal kwa sababu hawatambuliwi kama wachezaji wa Chelsea inayoshiriki Conference leagueLavia fainali atacheza ila medali hapati ila mudryk anapata medali hii imekaaje mbona sio sawa kabisa lembu
View attachment 3348386
Kama Lavia hakusajiliwa na mfumo kwanini Sasa anaruhusiwa kucheza?Wale wote ambao hawakujasajiliwa kwenye hayo mashindano akiwemo Romeo Lavia obviously hawawezi kupewa medal kwa sababu hawatambuliwi kama wachezaji wa Chelsea inayoshiriki Conference league
Mudryk yeye alisajiliwa na kwa vile hukumu yake ya dopping case bado haijatolewa, kwa sheria za UEFA anastahili kupewa medal
Amesajiliwa EPl lakini UEFA hakusajiliwa na hatachezaKama Lavia hakusajiliwa na mfumo kwanini Sasa anaruhusiwa kucheza?
Atacheza au hatacheza? which is whichAmesajiliwa EPl lakini UEFA hakusajiliwa na hatacheza
Tumelambwa kimoyaMnaoangalia toeni updates