OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Alaaah ligi imekweishaa mkuu?? Nimeona juukwaa la manjesta city kuwa ligi imeshaisha na Sasa sisi tunaenda kuwa mabingwa wa uefa na Europe na epl yani ni mwendo wa ndoo Tatu msimu ujao hahahaha hahahaDah !Alhamdulilah bora tumerudi UEFA ,Chelsea si ya kucheza ligi za mchangani aisee .Ilikuwa ni dharau kibonde arsenyani anacheza UEFA halafu Champion kama Chelsea anacheza conference , hii ilikuwa ni fedheha
Big up kwa boys , wakaze msimu ujao tugombanie ubingwa ,msimu huu kuna muda walikata moto ,tukawa tunapata matokeo ya ovyo ila tulianza vizuri sana