Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Madueke amekuwa wa hatari sana baada ya kocha kumuhamishia upande wa winga wa kushoto. Naona uongozi unaweza kuachana na mpango wao wa kumsajili winga mpya wa kushoto badala ya Mudryk
Wasajili tu japokuwa nimeona weak foot yake pia ameifanyia mazoezi inapiga mpira kiasi
 
lembu ulikuwa unalinganisha mafanikio ya mashavu na kocha wasasa unaona
Screenshot_20250507-113531_Facebook.jpg
 
Wachezaji 5 Bora wa PL wa Chelsea Msimu wa 2024/25 Kulingana na:

FotMob

1. Cole Palmer - 7.70
2. Moisés Caicedo - 7.40
3. Enzo Fernandez - 7.33
4. Noni Madueke - 7.22
5. Nicolas Jackson - 7.13

Sofascore

1. Cole Palmer - 7.66
2. Enzo Fernandez - 7.34
3. Moisés Caicedo - 7.24
4. Noni Madueke - 7.10
5. Pedro Neto - 7.06

WhoScored

1. Cole Palmer - 7.38
2. Moisés Caicedo - 7.02
3. Enzo Fernandez - 6.98
4. Nicolas Jackson - 6.94
5. Noni Madueke - 6.87
 
lembu ulikuwa unalinganisha mafanikio ya mashavu na kocha wasasa unaona
View attachment 3326775

Maresca alibadilika kuanzia Machi baada ya kushambuliwa vikali na mashabiki.

Ikiwa utarejelea press conferences zake na waandishi wa habari kati ya mwisho wa Novemba hadi mwanzoni mwa Februari, alijikita sana katika mtazamo hasi ambao ulisababisha morali ya vijana kushuka. Katika kipindi hicho, alisisitiza:
  • Chelsea haiko kwenye mbio za ubingwa.
  • Chelsea haiwezi kushiriki kwenye mashindano yote manne (taratibu wakatolewa kwenye Carabao na FA Cup).
  • Chelsea haiwezi kumaliza katika nafasi nne za juu.
  • Chelsea haiwezi kushinda mechi bila kuwa na mshambuliaji wa kiwango cha juu.
  • Wamiliki hawakumpa malengo ya kumaliza ndani ya nafasi nne za juu.
  • Kuwania ubingwa kutachukua miaka 5-10.
Mtazamo huu ndio ulinifanya niache kumuamini kabisa. Lakini baada ya mashabiki kuanzisha presha kuanzia Machi, alibadilika na kuja na mtindo mpya:
  • Kipaumbele chetu sasa ni kushinda Conference League na kumaliza ndani ya nne bora, kabla EPL hawajapewa nafasi ya tano.
  • Chelsea lazima imalize ndani ya tano bora—hasa baada ya EPL kupata nafasi hiyo.
Kuanzia Machi, morali ya wachezaji ilianza kurejea hatua kwa hatua hadi sasa.

Hiyo ndiyo hali halisi.

Ikiwa Maresca amebadilika angalau kidogo, basi anaweza kuwa kocha mzuri.
Lakini bado asiwanyime Lavia na wengine uhuru wa kupiga pasi za kati, kwa sababu hizi ndizo zinazoiwezesha Chelsea kushinda. Pasi hizi alizipiga marufuku tangu Januari 2025.
 
Wachezaji 5 Bora wa PL wa Chelsea Msimu wa 2024/25 Kulingana na:

FotMob

1. Cole Palmer - 7.70
2. Moisés Caicedo - 7.40
3. Enzo Fernandez - 7.33
4. Noni Madueke - 7.22
5. Nicolas Jackson - 7.13

Sofascore

1. Cole Palmer - 7.66
2. Enzo Fernandez - 7.34
3. Moisés Caicedo - 7.24
4. Noni Madueke - 7.10
5. Pedro Neto - 7.06

WhoScored

1. Cole Palmer - 7.38
2. Moisés Caicedo - 7.02
3. Enzo Fernandez - 6.98
4. Nicolas Jackson - 6.94
5. Noni Madueke - 6.87
Pasipo cucurella hapo naona hii static ni batili tupu hakuna aliye perform kama cucurella msimu kwenye squad yetu
 
Halafu anakuja mtu anakwambia liva wamelipa fadhila wametuachia!!! Aisee
Ile mechi ya Kwanza waliomba mechi iishe na walipack bus na refa akawa wao tuliwadhidi kila kitu, in short Chelsea inabebwa na hao viungo watatu na kocha Kama ana akili sometimes anabadilke kidogo Caicedo na Lavia wacheze Kati Enzo no 10 alafu Palmer acheze left wing na right back awe Reece James au Gusto oya wapinzani wataomba poo
 
Shida injury prone ya lavia...unafikiri haelewi hvyo
 
Ile mechi ya Kwanza waliomba mechi iishe na walipack bus na refa akawa wao tuliwadhidi kila kitu, in short Chelsea inabebwa na hao viungo watatu na kocha Kama ana akili sometimes anabadilke kidogo Caicedo na Lavia wacheze Kati Enzo no 10 alafu Palmer acheze left wing na right back awe Reece James au Gusto oya wapinzani wataomba poo
Hata Caicedo akicheza RB bado inatia kiungo uhai kwa sababu ana invert
Enzo Maresca kasema Enzo Fernadez atakuwa akicheza mbele tu na anaamini Fernadez ana uwezo wa kufunga magoli 10-15 kwa msimu. Press Conference ya leo
1746642671419.png
 
Chelsea itamenyana na Real Betis katika fainali ya UEFA Europa Conference League tarehe 28 Mei 2025 katika uwanja wa Stadion Miejski kule Poland
 
Apendaye chongo huita kengeza
Niliwaambia Arsnal tutabeba kombe kabla yao, wakabeza kama hivyo. Ila kinachotaka kwenda kutokea.

Sijui Arsenal mnawaona ni timu bora sana eeh?! Hii Arsenal ikitaka ibebe ubingwa wachezaji karibu wote pale ni mashuzi wabadilishwe. Huwezi kuchukua ubingwa unategemea Odergard, matinel, Havertz, kiwor sijui skelewi, Niwaner, Moreno

Yaan ni sawa na hii chelsea ichukue ubingwa inategemea Madueke Sancho Chaloba aisee tutasubir sana.
 
Mechi ya kesho dhidi ya Newcastle ndiyo itatoa maamuzi kama tunakuwa nafasi ya pili au tunamaliza nje ya top 5. Any draw au ushindi itatuweka katika nafasi nzuri sana.
 
Mechi ya kesho dhidi ya Newcastle ndiyo itatoa maamuzi kama tunakuwa nafasi ya pili au tunamaliza nje ya top 5. Any draw au ushindi itatuweka katika nafasi nzuri sana.
Tukifungwa itabidi tuombe Forest wapoteze point kwa Leicester city. Chelsea ssisis tutajitetea kwa kwa wale Nyumbu wa Serenegti na Forest. Chelsea ikifungwa leo na Forest wakafungwa au kudroo bado tutakuwa kwenye Nafasi ya 5 kwa wingi wa GD dhidi ya Aston Villa. Kumbuka New Castle wana Arsenal na Everton. Lazima mmoja atampin dulia meza hapo. Forest akishinda leo watafanya tu fainali ya tarehe 25 May kuwa ngumu zaidi. Ila Chelsea tukishinda leo, fainali hiyo inakuwa rahisi sana na pengine ikawa kukamilisha ratiba tu. Chelsea hoyee!
Mechi ya leo tunadroo au kushinda
Mechi na Man United tunashinda na kufikisha points 69, mechi na Forest tunadroo na business will be over for 2024/25

1746932646320.png
 
View attachment 3330471
Man anafungwa na timu zote duniani ila akikutana na Chelsea tuh anakua kama real Madrid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom