Tukijitahid kushinda game zilizobaki hata ubingwa tunaweza tukabeba.😂Daah timebakiza mechi ngapi tucheze uefa msimu ujao?? Leo nimeona game kidogo tumecheza vizuri, sikujua Kuna game nimekutananayo tuu kimazabe ..Sasa zimebaki game ngap tuyingie top Foo rasmi??
Lakn mlikuwa mnacheza na aliye tangaza ubingwaDaah timebakiza mechi ngapi tucheze uefa msimu ujao?? Leo nimeona game kidogo tumecheza vizuri, sikujua Kuna game nimekutananayo tuu kimazabe ..Sasa zimebaki game ngap tuyingie top Foo rasmi??
Pia Chelsea walikuwa serious mno, hiyo relax ya Liverpool iliwafanya wachezebila tahadhari na wamecheza vizuri kuliko tulipocheza nao0 mechi ya kwanzaLeo Liverpool kacheza kwa ku relax sio ule mpira wake wa mambio full kukimbizana kama vile kalipa fadhila ya mwaka 2019 tuliompa kombe. OllaChuga Oc tumebakiza game tatu ila tukishinda mbili tutakuwa tumejiakikishia nafasi ya 5 kwenda uefa game zenyewe tunacheza na man u, Nottingham na Newcastle
Kwa hiyo liva amewaachia chelsea wawafunge? Aiseee!!! Mbona kama walitaka walimwage sare ikashindikana.Leo Liverpool kacheza kwa ku relax sio ule mpira wake wa mambio full kukimbizana kama vile kalipa fadhila ya mwaka 2019 tuliompa kombe. OllaChuga Oc tumebakiza game tatu ila tukishinda mbili tutakuwa tumejiakikishia nafasi ya 5 kwenda uefa game zenyewe tunacheza na man u, Nottingham na Newcastle
Kwani Nani amesema anauzwaFernandez wasimuuze.
Hao watatu ndio Siri ya Chelsea kufanya vizuri wanafuta makosa ya kule mastrikers wanachofanya mbele
Kwahyo point Yako ndo Nini mkuu?Lakn mlikuwa mnacheza na aliye tangaza ubingwa
Halafu anakuja mtu anakwambia liva wamelipa fadhila wametuachia!!! AiseeHao watatu ndio Siri ya Chelsea kufanya vizuri wanafuta makosa ya kule mastrikers wanachofanya mbele
Liverpool walicheza vizuri zaidi jana ukilinganisha na mechi zao za awali. Walikuwa watulivu na hawakuwa na cha kupoteza. Walitekeleza mpango wao wa mchezo vyema. Mara ya mwisho tulipocheza dhidi yao, walikuwa na wasiwasi na walichukua tahadhari sana. Sisi tulikuwa timu bora; wao walikuwa na bahati tu ya kushinda.Leo Liverpool kacheza kwa ku relax sio ule mpira wake wa mambio full kukimbizana kama vile kalipa fadhila ya mwaka 2019 tuliompa kombe. OllaChuga Oc tumebakiza game tatu ila tukishinda mbili tutakuwa tumejiakikishia nafasi ya 5 kwenda uefa game zenyewe tunacheza na man u, Nottingham na Newcastle