Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,050
- 125,889
Kipindi cha huyo mzee kombe lilikuwa la bati, Halafu enzi zinabadilika ujueAcha nongwa we mzee😂😂😂 nani alipita na upepo wa mzee Ferguson?
Kipindi cha huyo mzee kombe lilikuwa la bati, Halafu enzi zinabadilika ujueAcha nongwa we mzee😂😂😂 nani alipita na upepo wa mzee Ferguson?
Toa hapo Arsenal kwenye sentence ili ilete maanaWala sio upepo wa Klopp bali kapita na upepo wa city mbovu na Aser8 ya kuendelea kutingishia wowowo wanaume
Chelsea ni 3/5
Oneni hii kondooKenge kabisa
Msimu huu mnatoka patupu Kama kawaida yenuKenge kabisa
Huu ni msimu ambao sikutarajia chochoteMsimu huu mnatoka patupu Kama kawaida yenu
Sio msimu huu tu hata ijayo itakuwa hivyo hivyo Kama unashindwa kuchukua ubingwa ikawa man city Yuko ovyo, chelsea Yuko goi goi, man u Kama unavyojua wewe kuja kuchukua Tena sahauHuu ni msimu ambao sikutarajia chochote
City yuko ovyo halafu Arsenal tukoje?Sio msimu huu tu hata ijayo itakuwa hivyo hivyo Kama unashindwa kuchukua ubingwa ikawa man city Yuko ovyo, chelsea Yuko goi goi, man u Kama unavyojua wewe kuja kuchukua Tena sahau
Issue ni nyinyi kutumia nafasi wakati ambapo mpo kwenye uboraCity yuko ovyo halafu Arsenal tukoje?
City imepotea kisa hayupo Rodri.
Kwa Arsenal nani na nani hawapo?
Arsenal hii na ya misimu miwili nyuma hii ni nyepesiIssue ni nyinyi kutumia nafasi wakati ambapo mpo kwenye ubora
Mpaka msemeeeeeer🤣🤣🤣🤣Sancho anaingiza mipira kwenye box mmaliziaji sasa ndio changamoto
Sancho mchezaji mvivuu, akiwa uwanjani jihesabie mpo pungufu.Sancho asiondoke aseeh
Hahaaaa ila naona leo Liverpool anaukalia kwa raha zakeMbio za ubingwa zilishaisha, kwa sasa Arse8 anamtingishia bingwa wowowoo afike kileleni.