Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu vip Leo tunakipiga na nani?? Leo tuwakalishe hao mambanga tunaocheza nao tuyingie top Foo..

Halafu saiv tuko kwenye kombe Gani tunagombaniyaa😭😭😭
#CFC💙💙💙
 
Mechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea

Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Hizi nde game zilobakia🥺🥺🥺
Apo kuku tunamchinja kwanza miguu, halafu mabawa halafu tunamnyonyoa halafu nde tunamkata shingo, huyu manjestaa ni kama tayari tunaongoza mbili bila, Nu casto lazima awe mteja wetu japo anaongoza juu yetu kimtindo, lazma tumlambe lambe😅😅 ..huyu Notadam forest ndiyo naona itakuwa gemu ngumu kidogo ..😅😅😅
Apo mchezo umeungua Top Foo ilee next sezon tunabeba uefa,,nani anabishaaa 😩😩😩
 
Mechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea

Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Mechi ngumu hapo ni hizo za Newcastle na Forest
Liverpool watakuwa wastahafu na Man United hana la kupoteza hata akishinda atabakia huko huko kwa makabwela
 
Leo mchana huu 8.30 tunacheza na Everton
Baada ya hii taarifa kuna msela atakuja hapa kuuliza
Vipi leo Chelsea ina mechi😀😀
🤣🤣🤣🤣

Wakuu vip Leo tunakipiga na nani?? Leo tuwakalishe hao mambanga tunaocheza nao tuyingie top Foo..

Halafu saiv tuko kwenye kombe Gani tunagombaniyaa😭😭😭
#CFC💙💙💙
 
Mechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea

Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Sisi tukomae tu na comference, huku tuwaachie mijusi na akina City. Hatuna uwezo wa kushinda mechi hata moja hapo. Fact
 
Hata benchi kwenye timu ya msimu hawezi kuwepo
1745857712768.png
 
Kumbe hili ndio chimbo lenu la kujifariji😂😂😂

tunaomba guard of honor ianzie huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom